KATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROAD SLAA AKIWA ZIARANI BARANI ULAYA
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibroad Slaa akiwa na Mshauri wa Masuala ya Uchumi, Sayansi na Maendeleo ya Jamii katika ulimwengu wa dijiti (digital), Dk. Mario Voigt, walipokutana Villa La Collina, Milan kwa ajili ya kujadiliana na kubadilishana uzoefu kuhusu namna bora ya kusimamia uchumi unaonufaisha wananchi hususan kwenye nchi zenye utajiri wa rasilimali lakini watu wake wanakabiliwa na umaskini, kama Tanzania. Dk. Voigt ni mtaalam katika eneo hilo,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROAD SLAA APEWA UCHIFU WA MKOA WA DAR ES SALAAM NA WAZEE WA KANDA YA PWANI
Wazee wa Kimila Ali Mahita Mwinyikambi (kulia) na Athumani Rajab Uloleulole kwa niaba ya Wazee wa Pwani wakimtazama Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Willibroad Slaa baada ya kumvisha nguo za kimila na kumkabidhi silaha za jadi ikiwa ni ishara ya kumtawaza kuwa Chifu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani na kumpatia jina la Chifu Mwinyikambi
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROAD SLAA ASHIRIKI MAZISHI YA MUFTI SHEKHE ISSA SHABAN BIN SIMBA
10 years ago
VijimamboNAIBU KATIBU MKUU CHADEMA AKIWA ZIARANI MKOANI RUKWA KATIKA MKUTANO WA OPERESHENI DELETE CCM
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-LZcHyspHyBg/VSuoNEPQrtI/AAAAAAAABLk/uemPb5z0dn8/s72-c/Dr.%2BSlaa%2BAlabama3.jpg)
KATIBU MKUU DK. WILLIBROD SLAA ZIARANI NCHINI MAREKANI
![](http://2.bp.blogspot.com/-LZcHyspHyBg/VSuoNEPQrtI/AAAAAAAABLk/uemPb5z0dn8/s1600/Dr.%2BSlaa%2BAlabama3.jpg)
Ziara hii ya siku tisa ni mwaliko wa Gavana wa Jimbo la Indiana Mike Pence pamoja na taasisi mbalimbali za nchini humo ikiwemo vyuo vikuu kutokana na kutambua mchango wa kisiasa na...
10 years ago
Vijimambo06 Jun
Mjue DK Willibroad Slaa: Katibu Mkuu wa Chadema
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2742360/highRes/1029024/-/maxw/600/-/fo7uxwz/-/slaa.jpg)
10 years ago
GPLDK SLAA ATEULIWA TENA KUWA KATIBU MKUU WA CHADEMA
10 years ago
Mwananchi09 Jun
Dk Slaa aenda ziarani Ulaya kupikwa
9 years ago
MichuziCHADEMA tawi la MAREKANI yakanusha Taarifa kuhusu kuwapokea Dr Wilbroad Slaa na Mheshimiwa Freeman Mbowe hapa
10 years ago
Mwananchi06 Jun
NANI NI NANI URAIS: DK Willibroad Slaa: Katibu Mkuu wa Chadema