Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATIBU MKUU DK. WILLIBROD SLAA ZIARANI NCHINI MAREKANI

Dr. Slaa akiwa na Gavana wa Alabama 2013Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa ameondoka nchini siku ya (Jumamosi Aprili 11, 2015) kuelekea nchini Marekani ambako atakuwa na ziara ya kikazi ya siku tisa. Dk. Slaa katika safari hiyo ameambatana na mkewe Josephine Mushumbusi.
Ziara hii ya siku tisa ni mwaliko wa Gavana wa Jimbo la Indiana Mike Pence pamoja na taasisi mbalimbali za nchini humo ikiwemo vyuo vikuu kutokana na kutambua mchango wa kisiasa na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROAD SLAA AKIWA ZIARANI BARANI ULAYA

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibroad Slaa akiwa na Mshauri wa Masuala ya Uchumi, Sayansi na Maendeleo ya Jamii katika ulimwengu wa dijiti (digital), Dk. Mario Voigt, walipokutana Villa La Collina, Milan kwa ajili ya kujadiliana na kubadilishana uzoefu kuhusu namna bora ya kusimamia uchumi unaonufaisha wananchi hususan kwenye nchi zenye utajiri wa rasilimali lakini watu wake wanakabiliwa na umaskini, kama Tanzania. Dk. Voigt ni mtaalam katika eneo hilo,...

 

10 years ago

Habarileo

Katibu Mkuu UVCCM ziarani Kanda ya Ziwa

KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Sixtus Mapunda anatarajia kufanya ziara ya siku nne (14) katika mikoa minne ya Kanda ya Ziwa, ambayo ni Tabora, Shinyanga, Geita na Kagera kuanzia leo.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ZIARANI NCHINI MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini usiku wa jana, Jumatatu, Septemba 15, 2014, kuanza ziara ya wiki mbili katika Marekani ambapo atahutubia Mkutano wa 69 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN General Assembly) New York.
Mbali na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York, Rais Kikwete pia atahudhuria mikutano muhimu katika mji mkuu wa Marekani, Washington, D.C.
Mjini New York, Rais Kikwete atashiriki katika mikutano...

 

10 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM, NDUGU KINANA ZIARANI MKOANI TANGA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima shamba la mpunga kwenye mradi wa kilimo kwanza wa Skimu ya Mahenge.  Mifereji ya maji kwenye shamba la skimu ya Mahenge.…

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA ZIARANI MKOANI TANGA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima shamba la mpunga kwenye mradi wa kilimo kwanza wa Skimu ya Mahenge.
 Mifereji ya maji kwenye shamba la skimu ya Mahenge.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kufyeka majani kwenye eneo la soko la sabasaba mjini Korogwe.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kujenga zahanati Mahenge kwa Mndolwa.
Mbunge wa Korogwe mjini Bw. Yusuph Nassir akielezea mipango ya maendeleo ya jimbo lake wakati wa ...

 

5 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya ziarani Tanga

 Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shigela (katikati) akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya  (wa kwanza kushoto) mara baada ya mazungumzo yao kuhusu mkakati wa kukuza kilimo cha mpunga mkoani Tanga leo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya  akiwa na Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo Mlingano Dkt.Catherine Sendoro wakati alipotembelea kituo hicho wilayani Muheza  Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya akipata maelezo ya namna mbegu bora za mkonge...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA ZIARANI WILAYANI KOROGWE MKOANI TANGA

 Katibu  Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishona nguo kwenye ofisi ya Veronica Simba (kushoto) iliyopo Mombo Sokoni,kulia ni Mbunge wa Korogwe Vijijini Ndugu Stephen Ngonyani ,Katibu Mkuu alikuwa kwenye ziara ya siku moja katika wilaya ya Korogwe Vijijini ambapo licha ya kukagua miradi mbali mbali ya ujenzi wa maabara na ofisi za CCM alipata nafasi ya kuwahutubia wananchi na kuwasikiliza.  Katibu  Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimuelekeza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi...

 

10 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM, KINANA ZIARANI HANDENI, AZUNGUMZA NA WANANCHI NA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI MBALIMBALI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kata ya Kwaluguru wakati wa kukagua maendeleo ya ujenzi wa vyumba vitatu vya maabara katika shule ya sekondari Kwaluguru wilayani Handeni. Wananchi wa kata ya Kwaluguru wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahma Kinana  wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa maabara tatu za masomo ya sayansi… ...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA ZIARANI HANDENI,AZUNGUMZA NA WANANCHI NA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI MBALIMBALI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kata ya Kwaluguru wakati wa kukagua maendeleo ya ujenzi wa vyumba vitatu vya maabara katika shule ya sekondari Kwaluguru wilayani Handeni.Wananchi wa kata ya Kwaluguru wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahma Kinana  wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa maabara tatu za masomo ya sayansi katika shule ya sekondari Kwaluguru ambapo vyumba 83 vya maabara vinajengwa wilayani Handeni.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani