Nani anasema Sh300,000 kwa siku hazitoshi?
Hata kabla ya kupita wiki moja tangu Bunge Maalumu la Katiba kuanza rasmi shughuli zake, wajumbe wake wameendelea na vituko kiasi cha kutupa wasiwasi kama kweli wengi wa wajumbe hao wanastahili kutuwakilisha katika chombo hicho kufanya kazi ya kihistoria ya kutunga Katiba Mpya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi17 Jul
Ekari 10 zachukuliwa na mradi wa gesi kwa Sh300,000 tu
11 years ago
KwanzaJamii06 Aug
Nani Anasema Ujamaa Ulishindikana?
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-5zt7av14zj8/VUUmsivn0pI/AAAAAAAHU9E/IiyY3tdZqgk/s72-c/tbc2.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SJHyuKr55TMphhUEzEWJElbf*KexwmGX-ZLj7osrLvgYFndPdXVzf*dHOMPS3ktuwaxmD78vFbHWRkvhp3dNx8rnKkgg3nW6/aunti.jpg)
IYOBO: NANI ANASEMA AUNT MZEE?
11 years ago
Mwananchi28 Jul
Malecela: Siku 60 hazitoshi kukamilisha Katiba Mpya
10 years ago
BBCSwahili07 Aug
Hizi dola 1,000,000 ni za nani?
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Bunge la Katiba 300,000/- kwa siku
HATIMAYE serikali imeweka hadharani kwamba kila mjumbe katika Bunge la Katiba ataweka kibindoni posho ya sh 300,000 kwa siku. Kwa maana hiyo, kila mjumbe katika Bunge hilo atakuwa amelipwa sh...
10 years ago
Mwananchi15 Sep
Wataka posho ya Sh500,000 kwa siku
11 years ago
Habarileo17 Feb
Posho Bunge la Katiba Sh 300,000 kwa siku
BUNGE Maalumu la Katiba litafunguliwa rasmi Jumatano ijayo ya Februari 26, mwaka huu likiwa na wajumbe 629 na imethibitishwa kuwa kila mjumbe atalipwa Sh 300,000 kwa siku. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashillilah, aliwaambia waandishi wa habari hayo jana ndani ya ukumbi mpya wa Bunge, walipoingia kwa mara ya kwanza ndani ya ukumbi huo kuangalia mfumo wa kisasa wa sauti na mambo mengine.