Wataka posho ya Sh500,000 kwa siku
Mzimu wa posho umeibuka upya katika Bunge la Katiba, safari hii wajumbe wake wa Kamati ya Uandishi wakiomba walipwe posho maalumu ya Sh500,000 kwa siku kutokana na kazi ya kuandika Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo17 Feb
Posho Bunge la Katiba Sh 300,000 kwa siku
BUNGE Maalumu la Katiba litafunguliwa rasmi Jumatano ijayo ya Februari 26, mwaka huu likiwa na wajumbe 629 na imethibitishwa kuwa kila mjumbe atalipwa Sh 300,000 kwa siku. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashillilah, aliwaambia waandishi wa habari hayo jana ndani ya ukumbi mpya wa Bunge, walipoingia kwa mara ya kwanza ndani ya ukumbi huo kuangalia mfumo wa kisasa wa sauti na mambo mengine.
11 years ago
Habarileo26 Feb
Wataka posho Bunge Maalumu ipunguzwe hadi 170,000/-
WAKAZI wa wilaya za Tarime na Rorya mkoani Mara, wameshauri kupunguzwa kwa posho za wajumbe wa Bunge maalumu la Katiba kutoka Sh 300,000 hadi Sh 170,000 ambazo walisema ni za kawaida kwa vikao vya Bunge.
9 years ago
Raia Mwema25 Nov
Posho ya siku ni posho ya kujikimu siyo ya kujikirimia
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
11 years ago
Michuzi16 Feb
mhe livingtsone lusinde aongelea bunge maalumu la katiba, na posho ya laki saba kwa siku
11 years ago
Habarileo20 Feb
Wabunge wakataa posho Sh 300,000
WAKATI mjadala wa kihistoria wa kuunda Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ukiwa katika hatua ya kupata kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, baadhi ya wajumbe wameamua kuelekeza nguvu kudai posho nono.
11 years ago
Habarileo01 Mar
‘Wasioridhika na posho ya 300,000/- waondoke - Mwigulu
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaotaka nyongeza ya posho, kujiondoa katika bunge hilo kama hawaridhiki nayo.
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
Posho ya 300,000 yawezekana tuna wajumbe wagonjwa!
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba hoyeeeee! Wazee wa kukataa posho ya sh 300,000 mpooo? Nadhani mtakuwa mmeitikia hadi mkatikisa vichwa vyenu. Sipotezi muda. Mada yangu ya leo ni ‘mshiko’ wa...
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Bunge la Katiba 300,000/- kwa siku
HATIMAYE serikali imeweka hadharani kwamba kila mjumbe katika Bunge la Katiba ataweka kibindoni posho ya sh 300,000 kwa siku. Kwa maana hiyo, kila mjumbe katika Bunge hilo atakuwa amelipwa sh...
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Nani anasema Sh300,000 kwa siku hazitoshi?