Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mhe livingtsone lusinde aongelea bunge maalumu la katiba, na posho ya laki saba kwa siku

Mbunge wa Jimbo la Mtera Mh. Livingstone Lusinde akiongea baada ya kusajiliwa kama mjumbe wa kamati ya Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma Februari 16, 2014

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Posho Bunge la Katiba Sh 300,000 kwa siku

BUNGE Maalumu la Katiba litafunguliwa rasmi Jumatano ijayo ya Februari 26, mwaka huu likiwa na wajumbe 629 na imethibitishwa kuwa kila mjumbe atalipwa Sh 300,000 kwa siku. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashillilah, aliwaambia waandishi wa habari hayo jana ndani ya ukumbi mpya wa Bunge, walipoingia kwa mara ya kwanza ndani ya ukumbi huo kuangalia mfumo wa kisasa wa sauti na mambo mengine.

 

11 years ago

Tanzania Daima

BUNGE MAALUMU LA KATIBA: Uzalendo na posho (2)

BUNGE Maalumu la Katiba limeanza kazi iliyokusudiwa! Hata hivyo, matarajio ya wananchi wengi yameanza kuingia shaka kubwa baada ya wabunge kuanza madai ya nyongeza ya posho za vikao badala ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Siku 60 zaidi Bunge Maalumu la Katiba

Bunge Maalumu la Katiba limeomba kuongezewa muda wa siku 60 kuanzia Agosti 5, mwaka huu litakapokutana kwa ngwe ya pili, Mwananchi limebaini.

 

10 years ago

Habarileo

‘Hakuna mjumbe Bunge Maalumu anayedai posho’

Mkurugenzi wa Habari na Itifaki wa Bunge, Jossey MwakasyukaOFISI ya Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma, imefafanua juu ya kuchelewa kwa posho wa wajumbe wa bunge hilo, akisema zilichelewa kutokana na sababu za kiutaratibu wa fedha na kwamba kwa sasa hakuna mjumbe anayedai posho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waraka maalumu kwa wabunge wa Bunge la Katiba

SALAMU kwenu  wajumbe wa  Bunge  Maalumu la Katiba. Kwanza nianze kuwaambia msidhani ubunge ni bonge la dili. Ni nafasi tu katika mgawanyo wa kazi, hivyo  wale wanaoonekana wanajishaua waache  mara...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Tumeanza Bunge Maalumu la Katiba kwa kushindwa’

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba amesema mwanzo wao umekuwa mbaya, kutokana na wengi wao kuwa na misimamo ya vyama na makundi yaliyowapeleka kwenye Bunge hilo.

 

11 years ago

Habarileo

Wataka posho Bunge Maalumu ipunguzwe hadi 170,000/-

WAKAZI wa wilaya za Tarime na Rorya mkoani Mara, wameshauri kupunguzwa kwa posho za wajumbe wa Bunge maalumu la Katiba kutoka Sh 300,000 hadi Sh 170,000 ambazo walisema ni za kawaida kwa vikao vya Bunge.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wachana bango la walimu linalohoji posho Bunge Maalumu

Maandamano ya walimu kuingia katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani, jana yalipata mtafaruku baada ya polisi kuyaingilia na kuchana bango mojawapo lililohoji posho za wajumbe wa Bunge la Katiba.

 

10 years ago

Vijimambo

Polisi wachana bango la walimu linalohoji posho Bunge Maalumu

Wafanyakazi wakiwa na bango wakiingia kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam palipofanyia maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, jana. Picha na Silvan Kiwale
Bukoba. Maandamano ya walimu kuingia katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani, jana yalipata mtafaruku baada ya polisi kuyaingilia na kuchana bango mojawapo lililohoji posho za wajumbe wa Bunge la Katiba.Bango hilo la kitambaa cheupe lilikuwa na maandishi yanayohoji posho ya Sh300,000...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani