Polisi wachana bango la walimu linalohoji posho Bunge Maalumu
Wafanyakazi wakiwa na bango wakiingia kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam palipofanyia maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, jana. Picha na Silvan Kiwale
Bukoba. Maandamano ya walimu kuingia katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani, jana yalipata mtafaruku baada ya polisi kuyaingilia na kuchana bango mojawapo lililohoji posho za wajumbe wa Bunge la Katiba.Bango hilo la kitambaa cheupe lilikuwa na maandishi yanayohoji posho ya Sh300,000...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Oct
Polisi wachana bango la walimu linalohoji posho Bunge Maalumu
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
BUNGE MAALUMU LA KATIBA: Uzalendo na posho (2)
BUNGE Maalumu la Katiba limeanza kazi iliyokusudiwa! Hata hivyo, matarajio ya wananchi wengi yameanza kuingia shaka kubwa baada ya wabunge kuanza madai ya nyongeza ya posho za vikao badala ya...
10 years ago
Habarileo27 Aug
‘Hakuna mjumbe Bunge Maalumu anayedai posho’
OFISI ya Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma, imefafanua juu ya kuchelewa kwa posho wa wajumbe wa bunge hilo, akisema zilichelewa kutokana na sababu za kiutaratibu wa fedha na kwamba kwa sasa hakuna mjumbe anayedai posho.
11 years ago
Habarileo26 Feb
Wataka posho Bunge Maalumu ipunguzwe hadi 170,000/-
WAKAZI wa wilaya za Tarime na Rorya mkoani Mara, wameshauri kupunguzwa kwa posho za wajumbe wa Bunge maalumu la Katiba kutoka Sh 300,000 hadi Sh 170,000 ambazo walisema ni za kawaida kwa vikao vya Bunge.
11 years ago
Michuzi16 Feb
mhe livingtsone lusinde aongelea bunge maalumu la katiba, na posho ya laki saba kwa siku
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Posho zakwamisha Kamati za Bunge zakwama posho
10 years ago
Mtanzania02 May
Bango la walimu lazua gumzo Mei Mosi
Na Elizabeth Mjatta
BANGO lililobebwa na walimu katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi jana likiwa na maandishi yanayosomeka “Shemeji unatuachaje?”, limezua gumzo katika maeneo mbalimbali nchini, hususan katika mitandao ya kijamii.
Jana katika maadhimisho hayo ambayo kitaifa yalifanyika mkoani Mwanza na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali, walimu walipita mbele ya Rais Kikwete ambaye alikuwa mgeni rasmi huku wakiwa wamebeba bango hilo.
Wakipita mbele ya Rais Jakaya Kikwete, walimu hao...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-3NOjMuMBiGE/VTZtVEdl-QI/AAAAAAAHSRk/2SivmDfdMKs/s72-c/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
TAARIFA MAALUMU KUTOKA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM JUU YA WAHALIFU WALIOTIWA NGUVUNI
![](http://2.bp.blogspot.com/-3NOjMuMBiGE/VTZtVEdl-QI/AAAAAAAHSRk/2SivmDfdMKs/s1600/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
Watuhumiwa wanne wamekamatwa jijini Dar es Salaam katika makutano ya barabara ya Bibi Titi na Ohio karibu na Hotel ya Serena baada ya kumpora raia wa kigeni wakiwa na gari dogo rangi ya kijivu yenye nambari za usajili T787 DBU Toyota Cienta.
Hivi karibuni kumeibuka wimbi la wahalifu kuwapora pesa na vitu vya thamani kama mikufu, bangili, hereni pia pete na vitu mbalimbali vya thamani raia wa kigeni na akina mama ambao hupenda kutembea na pochi. Wahalifu hawa hutumia gari dogo ambalo mara kwa...
11 years ago
Habarileo11 Dec
Walimu walalamikia posho ya semina BRN
WALIMU wa zaidi ya 100 wa shule za msingi saba za Kata ya Buigiri wilayani Chamwino wamelalamikia posho ya ushiriki katika semina ya Mabadiliko Makubwa Sasa (BRN). Semina hiyo iliandaliwa kwa ajili ya kuleta uelewa kwa walimu hao.