Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu walalamikia posho ya semina BRN

WALIMU wa zaidi ya 100 wa shule za msingi saba za Kata ya Buigiri wilayani Chamwino wamelalamikia posho ya ushiriki katika semina ya Mabadiliko Makubwa Sasa (BRN). Semina hiyo iliandaliwa kwa ajili ya kuleta uelewa kwa walimu hao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Walalamikia posho kiduchu kucheza halaiki Zanzibar

Wanafunzi 200 wa shule za msingi Zanzibar walioshiriki kucheza halaiki ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, wamelalamika kulipwa viwango vidogo vya posho kulinganishwa na wenzao kutoka Tanzania Bara.

 

10 years ago

Michuzi

SEMINA YA WATENDAJI WA BRN YAFUNGULIWA LEO

Naibu Mtendaji Mkuu, Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (Presidents Delivery Bureau - PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now! - BRN), Bw. Peniel Lyimo, akifungua semina ya siku nne, ya tathmini ya Utekelezaji wa BRN kwa Mwaka wa kwanza; inayohusisha watendaji kutoka wizara na sekta mbalimbali zinazotekeleza BRN. Semina hiyo imefunguliwa leo Jumatatu jijini Dar es Salaam. Sehemu ya washiriki wakifuatilia mada katika semina hiyo ya tathmini...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Walimu walalamikia sheria mpya ya mafao

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, kimelalamikia sheria mpya ya mafao ya wastaafu kuwa ni ya kinyonyaji, haistahili kuanza kutumika bila kufanyiwa marekebisho kwa kushirikiana...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanafunzi Geita walalamikia kutumikishwa na walimu

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nyamarere iliyopo Kata ya Nkome mkoani Geita, wamelalamikia kutumikishwa kazi za vibarua na walimu wao.

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi wenye virusi walalamikia walimu

BAADHI ya wanafunzi wa shule za msingi mkoani Pwani wenye virusi vya Ukimwi, wamesema baadhi ya walimu huwataka kimapenzi licha ya kuwaeleza ukweli juu ya hali zao kiafya.

 

10 years ago

Habarileo

Walimu wafundwa kwenda na kasi ya BRN

OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), itaendelea kuimarisha mafunzo kwa walimu ili wafikie viwango vya kwenda na kasi ya Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) inayotekelezwa katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

 

10 years ago

Habarileo

Walimu wasusia kikao wakitaka posho

WALIMU 175 wa masomo ya sayansi mkoani Simiyu wameingia kwenye mgomo wa kutoshiriki semina iliyokuwa ikiendelea wilayani Bariadi kwa kutofahamu kiasi cha posho watakacholipwa.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Walimu wagomea mafunzo wakidai posho


Walimu wagomea mafunzo wakidai posho 
NA CHIBURA MAKORONGO, SIMIYU
MAFUNZO kwa ajili ya walimu wa masomo ya sayansi mkoani Simiyu, yameingia dosari baada ya walimu kugoma wakidai posho.
Walimu 200 kutoka wilaya tano za mkoa huo, wanashiriki mafunzo hayo yenye lengo la kuwajengea uwezo, ambapo jana waligoma kuendelea wakitaka kufahamu mustakabali wa posho za kijikimu.
Habari za kuaminika zinasema walimu hao walifikia uamuzi huo baada ya kuhudhuria mafunzo hayo ya siku 10 kwa siku nne mfululizo...

 

10 years ago

Habarileo

Utoro wa walimu, wanafunzi wakwamisha BRN Kigoma

WAKATI Serikali ikiwa katika utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa huku sekta ya elimu ikiwa ni moja ya sekta sita zinazotekeleza mpango huo imeelezwa kuwa utoro wa walimu na wanafunzi umeufanya mkoa Kigoma kushindwa kufikia malengo ya utekelezaji wa mpango huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani