Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu walalamikia sheria mpya ya mafao

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, kimelalamikia sheria mpya ya mafao ya wastaafu kuwa ni ya kinyonyaji, haistahili kuanza kutumika bila kufanyiwa marekebisho kwa kushirikiana...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

CWT:Tutaandamana kupinga sheria mpya ya mafao ya uzeeni

Chama cha Walimu (CWT) mkoani hapa kimetangaza kuwa kitafanya maandamano ya amani, iwapo rasimu ya mapendekezo ya sheria kuhusu mafao ya wastaafu ya mifuko ya pensheni itapitishwa na Bunge.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali isikilize kilio cha walimu kuhusu mafao

CHAMA cha Walimu Wilaya ya Ilala, kimelalamikia rasimu mpya ya mapendekezo ya kuimarisha mifuko ya hifadhi ya jamii iliyotolewa hivi karibuni na Wizara ya Kazi na Ajira ambayo imebadili mfumo...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanafunzi Geita walalamikia kutumikishwa na walimu

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nyamarere iliyopo Kata ya Nkome mkoani Geita, wamelalamikia kutumikishwa kazi za vibarua na walimu wao.

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi wenye virusi walalamikia walimu

BAADHI ya wanafunzi wa shule za msingi mkoani Pwani wenye virusi vya Ukimwi, wamesema baadhi ya walimu huwataka kimapenzi licha ya kuwaeleza ukweli juu ya hali zao kiafya.

 

11 years ago

Habarileo

Walimu walalamikia posho ya semina BRN

WALIMU wa zaidi ya 100 wa shule za msingi saba za Kata ya Buigiri wilayani Chamwino wamelalamikia posho ya ushiriki katika semina ya Mabadiliko Makubwa Sasa (BRN). Semina hiyo iliandaliwa kwa ajili ya kuleta uelewa kwa walimu hao.

 

9 years ago

BBCSwahili

Raia Nigeria walalamikia ‘sheria ya mtandao’

Raia wa Nigeria wamekuwa wakilalamika katika mitandao ya kijamii kupinga mswada wa sheria mpya ambao wanasema lengo lake ni kunyima watu uhuru wa kujieleza.

 

9 years ago

StarTV

Wafanya usafi walalamikia madereva wanaokiuka sheria

 

Baadhi ya wanawake wanaofanya usafi katika jiji la Mwanza wamewalalamikia madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani kwa kuendesha magari wakiwa wamelewa na wengine kuendesha kwa mwendo kasi licha ya kuwekewa alama za usalama barabarani.

Katikati ya jiji la Mwanza jua ni kali, usafi wa barabara unaendelea ambao ni miongoni mwa vigezo vya maendeleo kwa sababu mazingira safi ambayo yanapunguza magonjwa lakini hali hiyo inadaiwa kuhatarisha usalama wa wanawake hao wakati wa kufagia...

 

11 years ago

Habarileo

Kanuni mpya za kukokotoa mafao

SERIKALI imetangaza kanuni mpya, mbazo zinatoa viwango sawa vya vikokotoa kwa mifuko yote ya hifadhi ya jamii, ambapo sasa watalipwa asilimia 72.5 kutoka asilimia 60-67 kwa baadhi ya mifuko iliyokuwa ikilipwa awali. Pia, kiwango cha chini cha pensheni, kimeongezwa kwa mifuko ambayo haikuwa na kiwango cha chini.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mpango mpya wa mafao wakataliwa


NA RABIA BAKARI
BAADHI ya vyama vya wafanyakazi nchini, vimepinga mchakato wa serikali ulioanza wa mapendekezo ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii,  unaokwenda sambamba na mapendekezo ya kupunguza viwango vya sasa vya mafao kupitia Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA).
Vimesema mchakato huo unakiuka haki za wafanyakazi kwa kuwa muda mrefu wafanyakazi nchini wamekuwa wakilalamikia mapato madogo kutokana na kodi kubwa inayotozwa kwenye mishahara yao pamoja na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani