Mpango mpya wa mafao wakataliwa
NA RABIA BAKARI
BAADHI ya vyama vya wafanyakazi nchini, vimepinga mchakato wa serikali ulioanza wa mapendekezo ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, unaokwenda sambamba na mapendekezo ya kupunguza viwango vya sasa vya mafao kupitia Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA).
Vimesema mchakato huo unakiuka haki za wafanyakazi kwa kuwa muda mrefu wafanyakazi nchini wamekuwa wakilalamikia mapato madogo kutokana na kodi kubwa inayotozwa kwenye mishahara yao pamoja na...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo24 May
‘Hakuna mpango wa kurekebisha ukokotoaji mafao’
SERIKALI imesema kwa sasa haina mpango wa kurekebisha ukokotoaji wa mafao yanayolipwa kwa wastaafu, kutokana na kuwa unazingatia sheria ya pensheni na hulipwa baada ya kukaguliwa na Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG).
11 years ago
Habarileo06 Aug
Kanuni mpya za kukokotoa mafao
SERIKALI imetangaza kanuni mpya, mbazo zinatoa viwango sawa vya vikokotoa kwa mifuko yote ya hifadhi ya jamii, ambapo sasa watalipwa asilimia 72.5 kutoka asilimia 60-67 kwa baadhi ya mifuko iliyokuwa ikilipwa awali. Pia, kiwango cha chini cha pensheni, kimeongezwa kwa mifuko ambayo haikuwa na kiwango cha chini.
10 years ago
Tanzania Daima16 Sep
Walimu walalamikia sheria mpya ya mafao
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, kimelalamikia sheria mpya ya mafao ya wastaafu kuwa ni ya kinyonyaji, haistahili kuanza kutumika bila kufanyiwa marekebisho kwa kushirikiana...
10 years ago
Mwananchi27 Aug
CWT:Tutaandamana kupinga sheria mpya ya mafao ya uzeeni
11 years ago
Dewji Blog06 Aug
SSRA yazidua kanuni mpya za kuhuisha mafao ya pensheni
Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Gaudensia Kabaka akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma juzi kuhusu mabadiliko ya Kanuni za Kuhuisha Mafao ya Pensheni kwa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya kuwa na aina moja kwa wastaafu.Katikati ni Mwenyekiti wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA),Juma Muhimbi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka hiyo, Irene Isaka.
Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Gaudensia Kabaka, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.
Ofisa Mtendaji Mkuu...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-H8M5wY6ap2w/U-Ja7cguHpI/AAAAAAACm7k/YgMfP1LZ-lo/s72-c/A.jpg)
SSRA YAZINDUA KANUNI MPYA ZA KUHUISHA MAFAO YA PENSHENI
![](http://4.bp.blogspot.com/-H8M5wY6ap2w/U-Ja7cguHpI/AAAAAAACm7k/YgMfP1LZ-lo/s1600/A.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-z75K5U73cqQ/U-Ja629R26I/AAAAAAACm7g/WnVTNkbPo_8/s1600/B.jpg)
9 years ago
Dewji Blog26 Aug
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum azindua bodi mpya ya PPF na mafao mapya ya mfuko huo
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya uzinduzi wa Bodi Mpya ya PPF na Mafao Mapya ya Mfuko huo Dar es Salaam jana.
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum, (kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni moja, mwanachama wa mfuko huo, Sara Haule kama malipo ya fao la uzazi katika hafla ya uzinduzi wa bodi hiyo sanjari na uzinduzi wa fao la uzazi.
Waziri Fedha, Saada Mkuya akipeana mkono wa pongezi Mwanachama wa mfuko huo, Caroline Kiswaga, baada ya...
9 years ago
VijimamboWAZIRI WA FEDHA, SAADA MKUYA SALUM AZINDUA BODI MPYA YA PPF NA MAFAO MAPYA YA MFUKO HUO
10 years ago
Mtanzania25 Sep
Uraia pacha wakataliwa
![Bunge](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Bunge.jpg)
Bunge
Na mwandishi Wetu
RASIMU ya Katiba inayopendekezwa imezika rasmi suala la uraia pacha. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na mjadala kuhusu uraia pacha, huku Watanzania wanaoishi nje wakishinikiza kiwepo kipengele kwenye Katiba kinachoruhusu suala hilo.
Akiwasilisha rasimu hiyo jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Katiba, Andrew Chenge, alisema hakutakuwa na uraia pacha isipokuwa watu wenye asili ya Tanzania ambao hawana uraia watapewa hadhi maalumu.
“Kamati ya Uandishi ilifanya utafiti...