Kanuni mpya za kukokotoa mafao
SERIKALI imetangaza kanuni mpya, mbazo zinatoa viwango sawa vya vikokotoa kwa mifuko yote ya hifadhi ya jamii, ambapo sasa watalipwa asilimia 72.5 kutoka asilimia 60-67 kwa baadhi ya mifuko iliyokuwa ikilipwa awali. Pia, kiwango cha chini cha pensheni, kimeongezwa kwa mifuko ambayo haikuwa na kiwango cha chini.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-H8M5wY6ap2w/U-Ja7cguHpI/AAAAAAACm7k/YgMfP1LZ-lo/s72-c/A.jpg)
SSRA YAZINDUA KANUNI MPYA ZA KUHUISHA MAFAO YA PENSHENI
![](http://4.bp.blogspot.com/-H8M5wY6ap2w/U-Ja7cguHpI/AAAAAAACm7k/YgMfP1LZ-lo/s1600/A.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-z75K5U73cqQ/U-Ja629R26I/AAAAAAACm7g/WnVTNkbPo_8/s1600/B.jpg)
11 years ago
Dewji Blog06 Aug
SSRA yazidua kanuni mpya za kuhuisha mafao ya pensheni
Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Gaudensia Kabaka akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma juzi kuhusu mabadiliko ya Kanuni za Kuhuisha Mafao ya Pensheni kwa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya kuwa na aina moja kwa wastaafu.Katikati ni Mwenyekiti wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA),Juma Muhimbi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka hiyo, Irene Isaka.
Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Gaudensia Kabaka, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.
Ofisa Mtendaji Mkuu...
10 years ago
Habarileo20 Jun
SSRA yafafanua kanuni za mafao
MAMLAKA ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) imesema kanuni mpya za uainishaji wa mafao ya pensheni kwa wanaostaafu kwa hiari, una lengo la kulinda na kutetea maslahi ya wanachama.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ZIdjl36CuVI/VVtjxnqCavI/AAAAAAABTiw/jrYNsecPhJ0/s72-c/DSC04406.jpg)
SSRA yatoa ufafanuzi kuhusu Kanuni No. 13 ya mafao ya wastaafu
![](http://1.bp.blogspot.com/-ZIdjl36CuVI/VVtjxnqCavI/AAAAAAABTiw/jrYNsecPhJ0/s640/DSC04406.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-nQ47uTNjpsk/VVtjw3Bsi5I/AAAAAAABTio/qAf-u-uQ5k4/s640/SSRA.jpg)
10 years ago
Michuzi30 Apr
10 years ago
Michuzi04 May
10 years ago
Vijimambo05 May
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jul
Mpango mpya wa mafao wakataliwa
NA RABIA BAKARI
BAADHI ya vyama vya wafanyakazi nchini, vimepinga mchakato wa serikali ulioanza wa mapendekezo ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, unaokwenda sambamba na mapendekezo ya kupunguza viwango vya sasa vya mafao kupitia Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA).
Vimesema mchakato huo unakiuka haki za wafanyakazi kwa kuwa muda mrefu wafanyakazi nchini wamekuwa wakilalamikia mapato madogo kutokana na kodi kubwa inayotozwa kwenye mishahara yao pamoja na...
10 years ago
Tanzania Daima16 Sep
Walimu walalamikia sheria mpya ya mafao
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, kimelalamikia sheria mpya ya mafao ya wastaafu kuwa ni ya kinyonyaji, haistahili kuanza kutumika bila kufanyiwa marekebisho kwa kushirikiana...