SSRA YAZINDUA KANUNI MPYA ZA KUHUISHA MAFAO YA PENSHENI
Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Gaudensia Kabaka akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma juzi kuhusu mabadiliko ya Kanuni za Kuhuisha Mafao ya Pensheni kwa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya kuwa na aina moja kwa wastaafu.Katikati ni Mwenyekiti wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA),Juma Muhimbi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka hiyo, Irene Isaka.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Irene Isaka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog06 Aug
SSRA yazidua kanuni mpya za kuhuisha mafao ya pensheni
Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Gaudensia Kabaka akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma juzi kuhusu mabadiliko ya Kanuni za Kuhuisha Mafao ya Pensheni kwa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya kuwa na aina moja kwa wastaafu.Katikati ni Mwenyekiti wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA),Juma Muhimbi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka hiyo, Irene Isaka.
Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Gaudensia Kabaka, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.
Ofisa Mtendaji Mkuu...
10 years ago
Habarileo20 Jun
SSRA yafafanua kanuni za mafao
MAMLAKA ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) imesema kanuni mpya za uainishaji wa mafao ya pensheni kwa wanaostaafu kwa hiari, una lengo la kulinda na kutetea maslahi ya wanachama.
10 years ago
MichuziSSRA yatoa ufafanuzi kuhusu Kanuni No. 13 ya mafao ya wastaafu
10 years ago
Michuzi30 Apr
10 years ago
Michuzi04 May
10 years ago
Vijimambo05 May
11 years ago
Habarileo06 Aug
Kanuni mpya za kukokotoa mafao
SERIKALI imetangaza kanuni mpya, mbazo zinatoa viwango sawa vya vikokotoa kwa mifuko yote ya hifadhi ya jamii, ambapo sasa watalipwa asilimia 72.5 kutoka asilimia 60-67 kwa baadhi ya mifuko iliyokuwa ikilipwa awali. Pia, kiwango cha chini cha pensheni, kimeongezwa kwa mifuko ambayo haikuwa na kiwango cha chini.
10 years ago
GPLMFUKO WA PESHENI WA SSRA WATOA UFAFANUZI MAFAO
10 years ago
Habarileo21 Dec
TALGWU bado walia na SSRA ukokotoaji mafao
CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) kimeshutumu Mamlaka ya Hifadhi ya Mifuko ya Jamii (SSRA) kwa kutumia vibaya mamlaka yake kwa kupunguza kanuni ya vikokotoo.