MFUKO WA PESHENI WA SSRA WATOA UFAFANUZI MAFAO
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah Kibonde Msika (katikati) akiongea katika mkutano huo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Sheria wa mfuko huo, Ngabo Ibrahim, na Ofisa Utafiti wa kitengo hicho, Joseph Mulashumbilwa. Viongozi hao wakisikiliza maswali kutoka kwa wanahabari (hawapo pichani). MAMLAKA YA  Udhibiti na Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) umetoa ufafanuzi juu ya kanuni ya uwianishaji wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ZIdjl36CuVI/VVtjxnqCavI/AAAAAAABTiw/jrYNsecPhJ0/s72-c/DSC04406.jpg)
SSRA yatoa ufafanuzi kuhusu Kanuni No. 13 ya mafao ya wastaafu
![](http://1.bp.blogspot.com/-ZIdjl36CuVI/VVtjxnqCavI/AAAAAAABTiw/jrYNsecPhJ0/s640/DSC04406.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-nQ47uTNjpsk/VVtjw3Bsi5I/AAAAAAABTio/qAf-u-uQ5k4/s640/SSRA.jpg)
10 years ago
Michuzi30 Apr
11 years ago
Michuzi26 Jul
MFUKO WA PESHENI KWA WATUMISHI WA UMMA 'PSPF' WATOA SEMINA KWA WASANII WA BONGO MOVIE
10 years ago
Habarileo20 Jun
SSRA yafafanua kanuni za mafao
MAMLAKA ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) imesema kanuni mpya za uainishaji wa mafao ya pensheni kwa wanaostaafu kwa hiari, una lengo la kulinda na kutetea maslahi ya wanachama.
10 years ago
Habarileo21 Dec
TALGWU bado walia na SSRA ukokotoaji mafao
CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) kimeshutumu Mamlaka ya Hifadhi ya Mifuko ya Jamii (SSRA) kwa kutumia vibaya mamlaka yake kwa kupunguza kanuni ya vikokotoo.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-H8M5wY6ap2w/U-Ja7cguHpI/AAAAAAACm7k/YgMfP1LZ-lo/s72-c/A.jpg)
SSRA YAZINDUA KANUNI MPYA ZA KUHUISHA MAFAO YA PENSHENI
![](http://4.bp.blogspot.com/-H8M5wY6ap2w/U-Ja7cguHpI/AAAAAAACm7k/YgMfP1LZ-lo/s1600/A.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-z75K5U73cqQ/U-Ja629R26I/AAAAAAACm7g/WnVTNkbPo_8/s1600/B.jpg)
11 years ago
Dewji Blog06 Aug
SSRA yazidua kanuni mpya za kuhuisha mafao ya pensheni
Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Gaudensia Kabaka akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma juzi kuhusu mabadiliko ya Kanuni za Kuhuisha Mafao ya Pensheni kwa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya kuwa na aina moja kwa wastaafu.Katikati ni Mwenyekiti wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA),Juma Muhimbi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka hiyo, Irene Isaka.
Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Gaudensia Kabaka, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.
Ofisa Mtendaji Mkuu...
10 years ago
Michuzi04 May
10 years ago
Vijimambo05 May