Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Hakuna mpango wa kurekebisha ukokotoaji mafao’

Adam MalimaSERIKALI imesema kwa sasa haina mpango wa kurekebisha ukokotoaji wa mafao yanayolipwa kwa wastaafu, kutokana na kuwa unazingatia sheria ya pensheni na hulipwa baada ya kukaguliwa na Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

TALGWU bado walia na SSRA ukokotoaji mafao

CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) kimeshutumu Mamlaka ya Hifadhi ya Mifuko ya Jamii (SSRA) kwa kutumia vibaya mamlaka yake kwa kupunguza kanuni ya vikokotoo.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mpango mpya wa mafao wakataliwa


NA RABIA BAKARI
BAADHI ya vyama vya wafanyakazi nchini, vimepinga mchakato wa serikali ulioanza wa mapendekezo ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii,  unaokwenda sambamba na mapendekezo ya kupunguza viwango vya sasa vya mafao kupitia Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA).
Vimesema mchakato huo unakiuka haki za wafanyakazi kwa kuwa muda mrefu wafanyakazi nchini wamekuwa wakilalamikia mapato madogo kutokana na kodi kubwa inayotozwa kwenye mishahara yao pamoja na...

 

11 years ago

Habarileo

Migiro: Hakuna mpango wa kutoa adhabu ya kifo

SERIKALI imesema inaamini sheria zilizopo za uhujumu uchumi na wezi ni kali vya kutosha, na kwa sasa haina mpango wa kutunga sheria inayotoa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa wahusika.

 

10 years ago

Vijimambo

JK: Hakuna mpango wa kuanzisha Mahakama ya Kadhi , Asema mjadala umefungwa

Rais Jakaya Kikwete amefunga rasmi mjadala wa Mahakama ya Kadhi na kwamba hakuna mpango wa kuianzisha.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na kamati ya amani ya viongozi wa dini mkoa wa Dar es Salaam.

Kauli hiyo ya Kikwete imekuja baada ya hivi karibuni, viongozi dini za Kikristo chini ya Jukwaa la Wakristo Tanzania, kutoa tamko la kuitaka Serikali isitishe mchakato wa Mahakama ya Kadhi kwa kuondoa muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali...

 

10 years ago

Habarileo

Ewura yaagizwa ukokotoaji mpya wa bei ya mafuta

Juma NjwayoKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, imeitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kufanya ukokotoaji upya wa bei ya mafuta ili kumsaidia mlaji wa mwisho wa bidhaa hiyo kunufaika na punguzo la bei ya mafuta duniani.

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema: Hakuna kulala, hakuna kula

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana kilizindua mkakati wake wa ushindi “Hakuna kulala, hakuna kula mpaka kieleweke” katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba kwa kufungua mafunzo yatakayoendeshwa nchi nzima kwa viongozi wa vyama na Serikali za Mitaa.

 

10 years ago

Vijimambo

MBEYA YAZINDUA MPANGO WA MAREKEBISHO YA TABIA NA MPANGO WA UTOAJI MSAADA WA SHERIA

Kamishna Msaidizi Haki za Mtoto na marekebisho ya Tabia nchini, Rubikira Mushi, akizindua Mpango wa Marekebisho ya tabia na mpango wa utoaji msaada wa sheria kwa watoto wanaokinzana na Sheria. uliyofanyika katika ukumbi wa JM Motel iliyopo Forest Jijini MbeyaMwakilishi wa UNICEF katika uzinduzi huo, Mbelwa Gabagumbi, alisema mfumo wa ulinzi na usalama wa mtoto ni wajibu wa Serikali na kila mwananchi hivyo ni vema kuheshimu mkataba wa kimataifa ambao Tanzania iliridhia wa haki za watoto wa...

 

5 years ago

Michuzi

DKT. MPANGO AWASILISHA MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA

 Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango akiwasilisha mapendekezo ya serikali ya mpango wa maendeleo wa Taifa na ya kiwango na ukomo wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2020/21.
 Waziri Mkuu Mhe Kassism Majaliwa akiongoza kikao cha uwasilishaji wa taarifa ya mapendekezo ya serikali ya mpango wa maendeleo wa Taifa na ya kiwango na ukomo wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2020/21.
Mbunge wa Jimbo la Mtama (CCM) Mhe Nape Nnauye akifuatilia uwasilishaji wa mapendekezo ya serikali ya mpango wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani