Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Migiro: Hakuna mpango wa kutoa adhabu ya kifo

SERIKALI imesema inaamini sheria zilizopo za uhujumu uchumi na wezi ni kali vya kutosha, na kwa sasa haina mpango wa kutunga sheria inayotoa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa wahusika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HAKUNA ADHABU NYINGINE ZAIDI YA KUMKATALIA FARAGHA?- 2

Uhali gani msomaji wangu? Bila shaka kwa uwezo wa Mungu uko poa na unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku. Ni Ijumaa nyingine tunapokutana kwenye uwanja wetu huu mzuri.Wiki iliyopita tulianza kujadili mada ya baadhi ya wanawake kuwanyima tendo la ndoa waume zao kila wanapowaudhi.

Nikushukuru wewe msomaji wangu uliyetuma ujumbe mfupi wa maandishi kuelezea mtazamo wako. Kimsingi nimejifunza kitu kwamba kumbe tatizo ni kubwa kuliko hata nilivyokuwa nafikiri.

WENGI WANATESEKA
Wanaume wengi...

 

10 years ago

GPL

HAKUNA ADHABU NYINGINE ZAIDI YA KUMKATALIA FARAGHA?

Nisiku nyingine nzuri ya Ijumaa tunapokutana kwenye zulia zuri la mahaba, tukijuzana, kubadilishana mawazo na kuelimishana mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Ni matumaini yangu kwamba kwa uwezo wa Mungu uko poa kabisa, leo nataka tujadiliane kuhusu mada hii nyeti na muhimu kama inavyojieleza; hakuna adhabu nyingine ya kumpa mwenzi wako anapokukosea zaidi ya kumkatalia kuwa naye faragha? Nimesukumwa kuandika mada hii...

 

11 years ago

BBCSwahili

Adhabu ya mauaji ni kifo Somalia

Mwanajeshi auawa nchini Somalia baada ya kupatikana na hatia ya kumua mwanafunzi mwaka jana

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Ashauri adhabu ya kifo ifutwe


Clarence Chilumba, Mtwara
Serikali imeshauriwa kutafuta njia mbadala kwa watuhumiwa wanaohukumiwa adhabu ya kifo na badala yake wapewe adhabu nyingine ambayo itawapa nafasi ya kuendelea kuzalisha mali.
Ushauri huo umetolewa na Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho wa Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC), Arnold Sungusia,  wakati akiwasilisha mada juu ya haki za binadamu kwenye mkutano mkuu wa jukwaa la wahariri.
Alisema ni vyema serikali ikaweka sheria na adhabu mbadala kwa watu wanaohukumiwa adhabu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Adhabu ya kifo kwa kukufuru Pakistan

Mahakama nchini Pakistan imesema adhabu ya kifo iliyotolewa kwa mwanamke mkristo aliyeshtakiwa kwa kukufuru dini mwaka 2010 itatekelezwa.

 

11 years ago

Mtanzania

Kamati ya Wassira yabariki adhabu ya kifo

Steven Wassira

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Steven Wassira

Na Debora Sanja, Dodoma

LICHA ya sheria ya kunyonga kupigiwa kelele na jumuiya za kimataifa, wajumbe wa kamati namba sita ya Bunge Maalumu la Katiba wamependekeza iendelee kutumika nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Dodoma jana, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Steven Wassira, alisema hali hiyo ilijitokeza wakati wa kujadili Sura ya nne ya Rasimu ya Katiba.

“Wapo baadhi ya wajumbe walitaka adhabu ya kifo ifutwe,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

LHRC: Adhabu ya kifo inapoteza nguvu kazi

MKURUGENZI wa Utetezi na Maboresho kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Harold Sungusia, amesema adhabu ya kunyongwa inachangia kupoteza nguvu kazi nchini. Sungusia alitoa kauli hiyo mjini...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YA AWAMU YA TANO YAOMBWA KUREKEBISHA ADHABU YA KIFO

Kushoto ni Mkurugenzi wa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wajane na kusaidia watoto,Utti Mwang’amba akizungumza na waandishi habari juu ya  serikali ya awamu ya tano kurekebisha sheria ya kifo kwa makundi maalum iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam, Pamoja na wajumbe waliohudhuria katika mkutano huo.Waandishi wa habari wakifatilia taarifa katika ukumbi wa idara ya habari Maelezo  leo jijini Dar es Salaam.
Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
TAASISI  ya Children Education Society (CHESO) ...

 

9 years ago

Vijimambo

Kongamano la kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga adhabu ya kifo lafanyika Pemba

MRATIBU wa kongamano la kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga adhabu ya kifo, Khalfan Amour Mohamed lililofayika mjini Chake chake, na kutayarishwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, kulia ni Afisa mipango wa ZLSC Siti Salim Habibu na kushoto ni Afisa Mdhamini wizara ya Katiba na Sheria Omar Khamis Juma akifuatiwa na Mratibu wa ZLSC, Fatma Khamis Hemed, (Picha na Haji Nassor, Pemba).WASHIRIKI wa Kongamano la kuadhimisha siku ya kupinga adhabu ya kifo, ambalo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani