Adhabu ya mauaji ni kifo Somalia
Mwanajeshi auawa nchini Somalia baada ya kupatikana na hatia ya kumua mwanafunzi mwaka jana
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Mar
MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jul
Ashauri adhabu ya kifo ifutwe
Clarence Chilumba, Mtwara
Serikali imeshauriwa kutafuta njia mbadala kwa watuhumiwa wanaohukumiwa adhabu ya kifo na badala yake wapewe adhabu nyingine ambayo itawapa nafasi ya kuendelea kuzalisha mali.
Ushauri huo umetolewa na Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho wa Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC), Arnold Sungusia, wakati akiwasilisha mada juu ya haki za binadamu kwenye mkutano mkuu wa jukwaa la wahariri.
Alisema ni vyema serikali ikaweka sheria na adhabu mbadala kwa watu wanaohukumiwa adhabu...
10 years ago
BBCSwahili16 Oct
Adhabu ya kifo kwa kukufuru Pakistan
11 years ago
Mtanzania12 Aug
Kamati ya Wassira yabariki adhabu ya kifo
![Steven Wassira](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Stephen-Wassira.jpg)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Steven Wassira
Na Debora Sanja, Dodoma
LICHA ya sheria ya kunyonga kupigiwa kelele na jumuiya za kimataifa, wajumbe wa kamati namba sita ya Bunge Maalumu la Katiba wamependekeza iendelee kutumika nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Dodoma jana, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Steven Wassira, alisema hali hiyo ilijitokeza wakati wa kujadili Sura ya nne ya Rasimu ya Katiba.
“Wapo baadhi ya wajumbe walitaka adhabu ya kifo ifutwe,...
11 years ago
Habarileo20 May
Migiro: Hakuna mpango wa kutoa adhabu ya kifo
SERIKALI imesema inaamini sheria zilizopo za uhujumu uchumi na wezi ni kali vya kutosha, na kwa sasa haina mpango wa kutunga sheria inayotoa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa wahusika.
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
LHRC: Adhabu ya kifo inapoteza nguvu kazi
MKURUGENZI wa Utetezi na Maboresho kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Harold Sungusia, amesema adhabu ya kunyongwa inachangia kupoteza nguvu kazi nchini. Sungusia alitoa kauli hiyo mjini...
9 years ago
MichuziSERIKALI YA AWAMU YA TANO YAOMBWA KUREKEBISHA ADHABU YA KIFO
Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
TAASISI ya Children Education Society (CHESO) ...
9 years ago
VijimamboKongamano la kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga adhabu ya kifo lafanyika Pemba
10 years ago
GPLKITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU (LHRC) CHAENDELEA KUIPINGA ADHABU YA KIFO