MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa
>Mbunge wa Lindi Mjini, Salum Barwany amemwomba Rais Jakaya Kikwete kusaini hukumu ya kunyongwa hadi kufa inayowakabili watu wanne waliopatikana na hatia ya kumuua mtu mwenye ulemavu wa ngozi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/n7Vr5lDn5dE/default.jpg)
11 years ago
BBCSwahili06 Jan
Adhabu ya mauaji ni kifo Somalia
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Mar
MAUAJI YA ALBINO
Wapiga ramli 225 wanaswa na polisi
NA MWANDISHI WETU
JUHUDI za kukomesha matukio ya kihalifu ya kuwaua watu wenye ulemavu wa ngozi ‘Albino’, zimeanza kuzaa matunda baada ya Jeshi la Polisi kuwashikilia wapiga ramli 225.
Kushikiliwa kwa wapiga ramli hao kunatokana na operesheni inayoendeshwa na polisi ya kupambana na vitendo vya kikatili ili kuhakikisha matukio hayo hayaendelei kutokea.
Taarifa iliyotolewa jana mjini Dar es Salaam na Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba, ilisema wapiga...
10 years ago
VijimamboKongamano la mauaji ya albino
10 years ago
Mtanzania03 Mar
JK alaani mauaji ya albino
Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete amesema anasikitishwa na kitendo kilichoibuka upya cha mauaji ya albino baada ya hali kuwa tulivu mwaka 2011.
Amesema kutokana na hali hiyo amekubali kukutana na viongozi wa Chama cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi nchini (Albino), ili kuweza kusikiliza maoni yao juu ya namna bora ya kumaliza tatizo hilo.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo jana katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi, ambapo alisema ni lazima jamii ilaani vikali mauaji dhidi ya...
10 years ago
Mwananchi22 May
Mauaji ya albino Tanzania
10 years ago
Mwananchi22 Sep
‘Kesi za mauaji ya albino ziharakishwe’
10 years ago
Habarileo14 Jun
Kikwete akemea mauaji ya albino
RAIS Jakaya Kikwete amewasihi Watanzania kuacha kuua watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), badala yake wawalinde kwani ni aibu kwa baadhi ya watu kuwaua au kushiriki kuwaua wenzao kwa nia ya kujipatia fedha.
10 years ago
BBCSwahili11 Dec
Vita dhidi ya mauaji ya Albino TZ