Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete akemea mauaji ya albino

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na watoto wenye ulemavu wa ngozi baada ya kuwasili katika Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha jana ambapo aliongoza Maadhimisho ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi Duniani. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete amewasihi Watanzania kuacha kuua watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), badala yake wawalinde kwani ni aibu kwa baadhi ya watu kuwaua au kushiriki kuwaua wenzao kwa nia ya kujipatia fedha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Rais Kikwete:Mauaji ya Albino ni fedheha

Serikali ya Tanzania imeahidi kufanya jitihada kukomesha vitendo vya mauaji dhidi ya jamii ya Albino

 

10 years ago

Mwananchi

MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa

>Mbunge wa Lindi Mjini, Salum Barwany amemwomba Rais Jakaya Kikwete kusaini hukumu ya kunyongwa hadi kufa inayowakabili watu wanne waliopatikana na hatia ya kumuua mtu mwenye ulemavu wa ngozi.

 

10 years ago

Habarileo

Al-Shaimaa akemea unyanyapaa kwa albino

MBUNGE wa Viti Maalumu, Al- Shaimaa Kwegyir, amekemea vikali unyanyapaa unaofanywa kwa wenye ulemavu wa ngozi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Burundi:Rais Nkurunziza akemea mauaji

Rais wa Burundi,Pierre Nkurunziza amekemea mauaji ya aliyekuwa mkuu wa upelelezi nchini humo

 

10 years ago

Habarileo

Mwinyi akemea wanaotumia Uislamu kufanya mauaji

RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi.RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amekemea tabia ya watu wanaofanya vitendo vya mauaji dhidi ya wenzao kwa kutumia imani ya dini ya Kiislamu, huku akiwataka viongozi na Waislamu wote kujilinda dhidi ya watu hao.

 

11 years ago

Mwananchi

Kikwete akemea wanaoambukiza vvu

Rais Jakaya Kikwete amezitaka taasisi binafsi kushirikiana na Serikali katika kampeni ya kutokomeza maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi nchini.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

MAUAJI YA ALBINO


 Wapiga ramli 225  wanaswa na polisi
NA MWANDISHI WETU
JUHUDI za kukomesha matukio ya kihalifu ya kuwaua watu wenye ulemavu wa ngozi ‘Albino’, zimeanza kuzaa matunda baada ya Jeshi la Polisi kuwashikilia wapiga ramli 225.
Kushikiliwa kwa wapiga ramli hao kunatokana na operesheni inayoendeshwa na polisi ya kupambana na vitendo vya kikatili ili kuhakikisha matukio hayo hayaendelei kutokea.
Taarifa iliyotolewa jana mjini Dar es Salaam na Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba, ilisema wapiga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani