Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwinyi akemea wanaotumia Uislamu kufanya mauaji

RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi.RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amekemea tabia ya watu wanaofanya vitendo vya mauaji dhidi ya wenzao kwa kutumia imani ya dini ya Kiislamu, huku akiwataka viongozi na Waislamu wote kujilinda dhidi ya watu hao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kikwete akemea mauaji ya albino

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na watoto wenye ulemavu wa ngozi baada ya kuwasili katika Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha jana ambapo aliongoza Maadhimisho ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi Duniani. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete amewasihi Watanzania kuacha kuua watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), badala yake wawalinde kwani ni aibu kwa baadhi ya watu kuwaua au kushiriki kuwaua wenzao kwa nia ya kujipatia fedha.

 

10 years ago

BBCSwahili

Burundi:Rais Nkurunziza akemea mauaji

Rais wa Burundi,Pierre Nkurunziza amekemea mauaji ya aliyekuwa mkuu wa upelelezi nchini humo

 

10 years ago

GPL

ISIS WAENDELEA KUFANYA MAUAJI YA KUTISHA HUKO SYRIA NA IRAQ

Mpiganaji wa ISIS akinyanyua tofali la zege kumpiga mmoja wa wanaume waliokamatwa kwa kuua wanawake. Adhabu ya kuwapiga mawe wanaume waliokamatwa kwa mauaji ya wanawake watatu ikiendelea huko Iraq. Mmoja wa watuhumiwa wa uchawi akiwa tayari kuchinjwa na Kundi la ISIS huko Raqqa, Syria.…

 

11 years ago

CloudsFM

POLISI KUFANYA MSAKO MKALI KWA WATUHUMIWA WA MAUAJI YA SISTA WA KANISA KATOLIKI

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imeanzisha msako mkali, kuwatafuta watu waliohusika na mauaji ya Mhasibu wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka jijini Dar es Salaam, Sista Cresencia Kapuri (50), ambao utahusisha vikosi vyote vya Polisi. Vikosi hivyo ni Usalama Barabarani, askari wa doria wanaotumia pikipiki na magari, wapelelezi na askari Polisi wa kawaida.
Mauaji ya mtawa huyo, yalitokea juzi mchana katika eneo la Ubungo Riverside, jijini humo, ambapo alipigwa risasi na watu wanaodaiwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanablogu aliyetusi uislamu kuadhibiwa

Mahakamu kuu nchini Saudia imeamua kuwa hukumu ya kifungo cha miaka 10 na viboko 1000 dhidi ya mwanablogu Raif Badawi aliyepatikana na hatia ya kutukana Uislamu itabaki vile ilivyo

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Habarileo

Shekhe ataka Uislamu utofautishwe na ugaidi

SHEKHE wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum ameitaka jamii kutofautisha Uislamu na ugaidi, kwa kuwa dini hiyo na matendo hayo ni tofauti mithili ya ardhi na mbingu.

 

10 years ago

Mwananchi

Madai haya ni zaidi ya Ukristo na Uislamu

Hivi karibuni, mwandishi mmoja aliandika akihoji hatua ya Rais Jakaya Kikwete kuwateua Waislamu kushika wizara nyeti zote.

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE ALIYEASI UISLAMU ASAFIRISHWA KWENDA ITALIA

Meriam Ibrahim akiwa na mumewe Daniel Wani pamoja na mtoto wao wa kwanza. MWANAMKE wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa kuasi dini ya Kiislamu na kuolewa na Mkristo, Meriam Ibrahim, amesafirishwa kuelekea Italia baada ya kukaa ubalozi wa Marekani mjini Khartoum, Sudan kwa zaidi ya mwezi mmoja. Meriam na familia yake wameondoka na ndege ya Serikali ya Italia wakisindikizwa na Makamu Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia, Lapo Pistelli....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani