MWANAMKE ALIYEASI UISLAMU ASAFIRISHWA KWENDA ITALIA
![](http://api.ning.com:80/files/JH0C62scBfA7sHKld8Fcrr2r5Tcct2RcmVmhXeD6kZrb4WxaD4w8A-1nECc7rHZqGyz8lWgKF*5D*sHwWSPFT3vCvJuliNGI/MeriamYahiaIbrahimIshag.jpg?width=650)
Meriam Ibrahim akiwa na mumewe Daniel Wani pamoja na mtoto wao wa kwanza. MWANAMKE wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa kuasi dini ya Kiislamu na kuolewa na Mkristo, Meriam Ibrahim, amesafirishwa kuelekea Italia baada ya kukaa ubalozi wa Marekani mjini Khartoum, Sudan kwa zaidi ya mwezi mmoja. Meriam na familia yake wameondoka na ndege ya Serikali ya Italia wakisindikizwa na Makamu Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia, Lapo Pistelli....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili25 Jun
Mwanamke aliyeasi dini 'ameghushi' hati
11 years ago
BBCSwahili01 Aug
Mwanamke 'aliyeasi dini' awasili Marekani
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
Mwanamke aliyeasi uisilamu akamatwa tena
11 years ago
BBCSwahili27 Jun
Mwanamke aliyeasi dini achiliwa tena
11 years ago
CloudsFM25 Jun
Mwanamke aliyeasi dini akamatwa tena
Taarifa kutoka nchini Sudan zinasema kuwa mwanamke aliyeachiliwa hapo jana kwa kosa la kuasi dini amekamatwa tena.
Mwanamke huyo Meriam Ibrahim, alikuwa amehukumiwa kifo kwa kosa la kuolewa na mwanamume mkristo na kukana dini ya kiisilamu alikamatwa akiwa na familia yake katika uwanja wa ndege mjini Khartoum.
Watu waliomkata walikuwa wamevalia mavazi ya kiraia ingawa wanaaminika kuwa wanajeshi wa serikali.
Duru zinasema kuwa Meriam Ibrahim aliyejifungulia jela alikuwa anajiandaa kuondoka...
11 years ago
CloudsFM25 Jul
Mwanamke wa Sudan aliehukumiwa kifo kwa kuolewa na Mkristo amewasili Italia.
Huyu wa kwanza kushoto aliembeba mtoto ni Makamu wa waziri wa mambo ya nje ya Italy Lapo Pistelli
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Pope Francis Alhamisi ya July 24 2014 nchini Italia amekutana na Meriam mwanamke wa Sudan ambae alihukumiwa kunyongwa nchini Sudan kwa kosa la kuolewa na mume Mkristo mwaka 2011.
Meriam na watoto wake wawili akiwemo huyu wa mwisho aliezaliwa gerezani pamoja na mume wake ambae ni raia wa Marekani mwenye asili ya Sudan, waliwasili Italy wakiwa wameongozana na...
10 years ago
Vijimambo23 Sep
HUYU NDO MSHIRIKI MWINGINE MWANAMKE TOKA TANZANIA ANAYE KWENDA BIG BROTHER AFRIKA ANAITWA LAVEDA
![](http://timesfm.co.tz/content/uploads/2014/9/22/cache/Laveda_full.jpg)
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
Kifaru asafirishwa kilomita 16,000 akazalishe
10 years ago
GPLMWANDISHI INNOCENT MUNYUKU AAGWA, ASAFIRISHWA MORO