Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamke wa Sudan aliehukumiwa kifo kwa kuolewa na Mkristo amewasili Italia.

Huyu wa kwanza kushoto aliembeba mtoto ni Makamu wa waziri wa mambo ya nje ya Italy Lapo Pistelli

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Pope Francis Alhamisi ya July 24 2014 nchini Italia amekutana na Meriam mwanamke wa Sudan ambae alihukumiwa kunyongwa nchini Sudan kwa kosa la kuolewa na mume Mkristo mwaka 2011.
Meriam na watoto wake wawili akiwemo huyu wa mwisho aliezaliwa gerezani pamoja na mume wake ambae ni raia wa Marekani mwenye asili ya Sudan, waliwasili Italy wakiwa wameongozana na...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Sudan:Mwanamke mkristo bado yu taabani

Mawakili wa Meriam Ibrahim nchini sudan wamesema kuwa watawasilisha ombi mahakamani la kutaka mashtaka ya kughushi kuondolewa.

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE AHUKUMIWA KIFO, KUCHAPWA MIJELEDI 100 KWA KUBADILI DINI SUDAN

MAHAKAMA nchini Sudan imemhukumu kifo mwanamke mmoja anayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanamume mkristo. Daktari Mariam Yahya Ibrahim Ishag, ambaye babake ni muislamu alishitakiwa kwa kosa la kuasi dini pamoja na kufanya zinaa kwa kuolewa na mwanamume mkristo, kitu ambacho dini ya kiisilamu imeharamisha kwa wanawake. Mariam mwenye umri wa miaka 27 ambaye ni mjamzito pia atapata adhabu ya mijeledi 100 kwa kosa la zinaa....

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanamke aliyehukumiwa kifo Sudan ajifungua

Mwanamke aliyeasi dini nchini Sudan na kupata adhabu ya kifo amejifungua mtoto mvulana akiwa jela mjini Khartoum kwa mujibu wa wakili wake.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanamke aliyehukumiwa kifo Sudan aponea

Mwanamke aliyehukumiwa kifo nchini Sudan kwa kuasi dini ameachiliwa huru.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bashir amewasili mjini Khartoum Sudan

Rais Omar al-Bashir amewasili nchini Sudan kutoka Afrika Kusini licha ya mahakama nchini humo kutaka kumzuia hadi kesi dhidi yake isikizwe

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE ALIYEASI UISLAMU ASAFIRISHWA KWENDA ITALIA

Meriam Ibrahim akiwa na mumewe Daniel Wani pamoja na mtoto wao wa kwanza. MWANAMKE wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa kuasi dini ya Kiislamu na kuolewa na Mkristo, Meriam Ibrahim, amesafirishwa kuelekea Italia baada ya kukaa ubalozi wa Marekani mjini Khartoum, Sudan kwa zaidi ya mwezi mmoja. Meriam na familia yake wameondoka na ndege ya Serikali ya Italia wakisindikizwa na Makamu Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia, Lapo Pistelli....

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanamke kunyongwa kwa kuasi dini Sudan

Mahakama nchini Sudan imemhukumu kifo mwanamke mmoja anayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanamume mkristo.

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli amewasili viwanja vya Zakhiem, Mbagala kwa ajili ya kutambulishwa rasmi

Dk Magufuli amewasili viwanja vya Zakhiem, Mbagala kwa ajili ya kutambulishwa rasmi kama mgombea urasi kupitia CCM

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE ALIYEHUKUMIWA KIFO AKAMATWA TENA

Meriam akiwa na mwanaye Maya, kushoto ni mumewe Daniel Wani aliyempakata mtoto wao wa kiume Martin na wadau waliopigania mama huyo kuachiwa huru kabla ya kukamatwa tena leo. Meriam Ibrahim na mumewe Daniel Wani siku ya ndoa yao mwaka 2011. MWANAMKE Meriam Ibrahim aliyeachiwa huru jana baada ya kuhukumiwa kifo kwa kosa la kuolewa na mwanamume mkristo na kukana dini ya kiisilamu amekamatwa tena akiwa na mumewe pamoja na watoto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani