MWANAMKE AHUKUMIWA KIFO, KUCHAPWA MIJELEDI 100 KWA KUBADILI DINI SUDAN

MAHAKAMA nchini Sudan imemhukumu kifo mwanamke mmoja anayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanamume mkristo. Daktari Mariam Yahya Ibrahim Ishag, ambaye babake ni muislamu alishitakiwa kwa kosa la kuasi dini pamoja na kufanya zinaa kwa kuolewa na mwanamume mkristo, kitu ambacho dini ya kiisilamu imeharamisha kwa wanawake. Mariam mwenye umri wa miaka 27 ambaye ni mjamzito pia atapata adhabu ya mijeledi 100 kwa kosa la zinaa....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili15 May
Mwanamke kunyongwa kwa kuasi dini Sudan
11 years ago
CloudsFM25 Jul
Mwanamke wa Sudan aliehukumiwa kifo kwa kuolewa na Mkristo amewasili Italia.
Huyu wa kwanza kushoto aliembeba mtoto ni Makamu wa waziri wa mambo ya nje ya Italy Lapo Pistelli
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Pope Francis Alhamisi ya July 24 2014 nchini Italia amekutana na Meriam mwanamke wa Sudan ambae alihukumiwa kunyongwa nchini Sudan kwa kosa la kuolewa na mume Mkristo mwaka 2011.
Meriam na watoto wake wawili akiwemo huyu wa mwisho aliezaliwa gerezani pamoja na mume wake ambae ni raia wa Marekani mwenye asili ya Sudan, waliwasili Italy wakiwa wameongozana na...
11 years ago
BBCSwahili23 Jun
Mwanamke aliyehukumiwa kifo Sudan aponea
11 years ago
BBCSwahili27 May
Mwanamke aliyehukumiwa kifo Sudan ajifungua
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Ahukumiwa kifo kwa kuua mkwewe
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza, imemhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa Mathias Tangawizi (46), mkazi wa Kijiji cha Ibondo, wilayani Geita, baada ya kupatikana na kosa la kumuua mama mkwe...
11 years ago
BBCSwahili25 Sep
Ahukumiwa kifo Kenya kwa kuavya mimba
11 years ago
BBCSwahili21 Feb
Ahukumiwa jela kwa kubakwa Sudan
10 years ago
GPL
ESTA KIAMA KUBADILI DINI!
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
100 wakamatwa kwa kumvua nguo mwanamke Kenya