Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ESTA KIAMA KUBADILI DINI!

Msanii wa filamu Bongo, Esta Kiama. MSANII wa filamu Bongo, Esta Kiama amesema kuwa yupo mbioni kubadili dini yake ya Kikristo na kwenda kwenye Uislam kwa kile anachodai kuwa amejisikia tu. Akichezesha taya na Amani, Esta alisema kuwa ameamua kubadilisha dini kwa matakwa yake mwenyewe na siyo kwa kulazimishwa na mtu yeyote. “Muda wowote kuanzia sasa nitabadilisha dini kwa kuwa nimeamua na wala si kwa ajili ya kumfuata...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ESTA KIAMA ANASWA BILA MAKE UP

“Huwa nanunua rangi ya midomo kwa shilingi 25,000. HUYU anaitwa Ester Kiama. Ni chipukizi kwenye tasnia ya maigizo Bongo akiwa amefanikiwa kutoa muvi zake mbili na kuwakonga mashabiki wake. Ili kutoka na kuonekana ng’aring’ari, Ester anasema hutumia vipodozi vifuatavyo: LOTION Anatumia Revlon lakini wakati mwingine anasema hutumia mafuta ya nazi pekee au huchanganya na Revlon. Muigizaji wa filamu Bongo, Ester...

 

10 years ago

Bongo Movies

UBUYU:Baada ya Kupata Pedeshee Mpya, Wolper Kubadili Dini Tena!!

Mrembeo na mwigizaji wa filamu, Jackline Massawe Wolper, kwa mara nyingine ameripotiwa na gazeti moja la udaku kuwa kuangukia kwenye mikono ya pedeshee ambaye ndiye anayempa jeuri ya fedha kwa sasa.

Pedeshee huyo anayedaiwa kumpangishia nyumba ya kisasa mrembo huyo na kumpa jeuri ya kufanya matanuzi hapa mjini, anadaiwa kutaka kumbadili dini staa huyo ili awe muislam kwa mara ya pili.

Licha ya maisha yake kubadilika na kuwa na mkwanja mrefu, Wolper mwenyewe amekuwa akifanya siri juu ya...

 

11 years ago

Bongo Movies

SHEHE Amcharukia Jackline Wolper. Ni kutokana na tabia yake ya kubadili badili dini.

TABIA ya staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper kubadilibadili dini mara kwa mara imeonekana kuwakera watu mbalimbali akiwemo Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum ambaye amemcharukia vikali.

Wolper kiimani ni Mkristo lakini hivi karibuni alibadili na kuwa Muislam kabla ya kurejea tena kwenye imani yake ya awali ya ukristo.

Sababu ya Wolper kubadili dini ilikuwa ni kufunga ndoa na aliyekuwa mchumba wake Abdallah Mtoro ‘Dalas’, walipoachana akaamua kurudi kwenye...

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE AHUKUMIWA KIFO, KUCHAPWA MIJELEDI 100 KWA KUBADILI DINI SUDAN

MAHAKAMA nchini Sudan imemhukumu kifo mwanamke mmoja anayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanamume mkristo. Daktari Mariam Yahya Ibrahim Ishag, ambaye babake ni muislamu alishitakiwa kwa kosa la kuasi dini pamoja na kufanya zinaa kwa kuolewa na mwanamume mkristo, kitu ambacho dini ya kiisilamu imeharamisha kwa wanawake. Mariam mwenye umri wa miaka 27 ambaye ni mjamzito pia atapata adhabu ya mijeledi 100 kwa kosa la zinaa....

 

9 years ago

Bongo5

Music: Will Smith,Bomba Estéreo — Fiesta (Remix)

Baada ya miaka kumi kupita Will Smith amerudi tena kwenye game ya HipHop kwa kutoa remix ya wimbo wa ‘Fiesta’ wa kwake Bomba Estereo katika remix hii Will Smith anasikika akirap kwa lugha mbili Spanish na Kiingereza sikiliza hapa. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote […]

 

10 years ago

Raia Mwema

Yuko wapi Esta wa Wayahudi Tanzania atakayeliokoa taifa letu ?

OKTOBA mwaka huu, kutafanyika Uchaguzi Mkuu Tanzania utakaoshirikisha vyama vingi.

Fred Mpendazoe

 

10 years ago

GPL

MKURUGENZI WA TIMES FM AMPA MKONO WA POLE BI ESTA BUGANDO, MWANZA

Mkurugenzi Mtendaji wa Times Radio Fm,  Mr. Rehure Nyaulawa akiwa hospitali Bugando Mwanza alipoenda kumpa mkono wa pole bi Esta Jonas ambaye mtoto wake wa mwaka mmoja mwenye ulemavu wa ngozi (albino) aliyekutwa na majanga kukatwa mikono na miguu na watu wasiojulikana.

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA DINI WAKEMEA MAOVU YANAYOFANYWA KWA MGONGO WA DINI

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii Dar
Viongozi wa dini za kiislaam na kikristo wamesema dini ni za unyenyekevu na sio za kufanya maovu,ikitokea mtu mmoja katika imani anafanya maovu ni lazima akemewe ndani ya imani yake kwanza.
Wameyasema hayo leo katika kongamano la kujadili madhara ya misimamo mikali ya imani za kidini (Tafkiri) katika jamii na taifa lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kufungua kongamano hilo Katibu wa Taasisi za...

 

10 years ago

Michuzi

Mangula awataka viongozi wa dini wasiwapotoshe wananchi kuhusiana na kuwapo kwa masuala ya dini katika katiba pendekezwa

Makamu Mwenyekiti wa CCM bara, Philip Mangulla akizungumza na wanafunzi na waalimu wa shule ya Hagafilo mkoani Njombe kuhusiana na katiba pendekezwa na utofauti kati ya katiba pendekezwa na ya sasa. wanafunzi na waalimu wakimsikiliza Makamu mwenyekiti wa CCM bara Philip Mangula juzi wakati akiwapa ufafanuzi wa katiba Pendekezwa.(picha na furaha eliabu wa www.eliabu.blogspot.com)
Na Furaha Eliab, Njombe
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Philip Mangula amesema kuwa viongozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani