Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yuko wapi Esta wa Wayahudi Tanzania atakayeliokoa taifa letu ?

OKTOBA mwaka huu, kutafanyika Uchaguzi Mkuu Tanzania utakaoshirikisha vyama vingi.

Fred Mpendazoe

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kuliimarisha Taifa ni jukumu letu sote, hofu hii inatoka wapi?

Wananchi wanazungumza, huu ni wakati wa kusikiliza na kutenda na si kupinga Kwanza nikiri kwamba mimi ni mtu mdogo sana, kwa rika, kwa maarifa, kwa uzoefu na ujuvi wa mambo, siko huko.

 

10 years ago

Mwananchi

Job Ndugai yuko wapi?

>Wananchi mbalimbali wamekuwa wakiuliza alipo Naibu Spika Job Ndugai, ambaye tangu kuanza kwa mkutano wa 18 wa Bunge la Muungano hajaongoza kikao chochote kwani mara kadhaa chombo hicho kimekuwa kikitumia wenyeviti wakati Spika, Anne Makinda anapokuwa na majukumu mengine.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Pierre Nkurunziza yuko wapi?

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, inasemekana ameondoka nchini Tanzania saa moja baada ya kupatikana taarifa za kupinduliwa kwake

 

9 years ago

Mwananchi

Baada ya kuapishwa Rais, sasa tutafakari juu ya hekalu la Taifa letu la Tanzania

Baada ya kuapishwa Rais mpya wa awamu ya tano, Dk John Magufuli, kazi iliyobaki ni kulijenga taifa letu. Wengi wanategemea Dk Magufuli, kufanya miujiza. Hawezi kufanya chochote bila msaada wetu, bila ushiriki wa kila Mtanzania, awe wa CCM, upinzani au asiyekuwa na chama.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Mtanzania

Taifa letu, fahari yetu

Kikwete na SheinNa Waandishi wetu

RAIS Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein jana wamepokea Katiba inayopendekezwa mjini Dodoma.

Akizungumza katika sherehe  zilizofanyika Uwanja wa Jamhuri,Rais Kikwete aliwataka watu ambao hawakuridhika na mchakato wavute subira.

Sherehe hizo zimefanyika huku wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wakiwa wamesusia vikao vya Bunge hilo tangu Aprili 16, mwaka huu.

Rais Kikwete aliyeanza kuhutubia saa moja jioni, alisema licha ya uzuri wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ajira zaangamiza taifa letu

Mara nyingi watu wa kada mbalimbali wamezungumzia tatizo la ajira nchini, lakini baadhi ya viongozi wa Serikali huwakejeli na kudai kuwa hawana hoja za msingi.

 

10 years ago

Mwananchi

Masilahi ya Taifa letu ni yepi?

Wakati tunajiaandaa kwa Uchaguzi Mkuu, tuna mambo mengi ya kujadili kama Taifa.

 

10 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani