UJUMBE KWA TAIFA LETU
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Mwananchi16 Dec
Mitandao ya kijamii na changamoto kwa usalama wa taifa letu-1
Mitandao ya kijamii ni programu inayotumia Intaneti kuwezesha watu mbalimbali kuwasiliana, kushiriki mijadala na kuweka taarifa au kubadilishana vitu mbalimbali .
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Tuanze 2014 kwa kutafakari mwelekeo wa Taifa letu
Mwaka 2013 ulimalizika jana tukishuhudia mambo mengi hasa katika ulingo wa siasa. Nimejaribu kueleza baadhi ya mambo yaliyotokea katika makala zangu zilizopita.
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Mitandao ya kijamii na changamoto kwa usalama wa Taifa letu-3
Leo nahitimisha mfululizo wa makala haya. Licha ya mitandao ya kijamii kuweza kutumika dhidi ya usalama wa Taifa, pia inaweza kulinda usalama wake na wananchi tena kwa ufasaha zaidi.
11 years ago
GPL23 Jul
IVO MAPUNDA: WATANZANIA NJOONI TUONYESHE MATUMAINI KWA TAIFA LETU
Kipa namba moja wa Simba SC, Ivo Mapunda awakaribisha Watanzania katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar kuonyesha matumaini yao kwa Tanzania.
10 years ago
GPLOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YASEMA MFUMUKO WA BEI WA TAIFA KWA MWEZI JANUARI, 2015 UMEENDELEA KUPUNGUA KWA ASILIMIA 4.0
 Mkurugenzi wa Sensa za Jamii na Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ephrahim Kwesigabo akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari.  Mkurugenzi wa Sensa za Jamii na Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ephrahim Kwesigabo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo , wakati akitoa Fahirisi za bei za taifa kwa mwezi Januari, 2015. Kulia ni Kaimu...
11 years ago
GPLUJUMBE KWA WAPENDA MICHEPUKO
Unapenda kuchepuka? Hatukukatazi, lakini tunakupa tahadhari, mchepuko unakuathiri wewe na taifa zima kuanzia sekunde unayoanza, kwa sababu itakupa ugonjwa, utaupeleka nyumbani, utamwambukiza mwenzako, mtaugua na kufa, mtaiacha yatima familia yenu, mtazalisha watoto wa mitaani, watageuka majambazi na kufanya uhalifu mitaani.
11 years ago
GPL20 Feb
10 years ago
Vijimambo24 Mar
WATANZANIA LAZIMA TUWE MAKINI NA MATAJIRI WA NCHI HII KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU NA USTAWI WA WATANZANIA MASKINI
Ni wazi kwamba ningependa siku moja watanzania waweze kujua ukweli wa nini kinafanywa na matajiri wa nchi hii.Matajiri waliojaa ulafi wa kunufaika na rasilimali za nchi hii kwa manufaa yao na familia zao ukijumlisha wapambe wao na washirika wa ndani na nje ya nchi hii ya Tanzania. Ni katika vita hii ndio inayopelekea serekali yetu kuyumba na kuyumbishwa (STATE TO BE CAPTURED) na hawa matajiri pale wanapopigania maslahi yao na kudiriki kutumia utajiri wao na umiliki wao wa vyombo kama vya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania