SHEHE Amcharukia Jackline Wolper. Ni kutokana na tabia yake ya kubadili badili dini.
TABIA ya staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper kubadilibadili dini mara kwa mara imeonekana kuwakera watu mbalimbali akiwemo Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum ambaye amemcharukia vikali.
Wolper kiimani ni Mkristo lakini hivi karibuni alibadili na kuwa Muislam kabla ya kurejea tena kwenye imani yake ya awali ya ukristo.
Sababu ya Wolper kubadili dini ilikuwa ni kufunga ndoa na aliyekuwa mchumba wake Abdallah Mtoro ‘Dalas’, walipoachana akaamua kurudi kwenye...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vcB-R4TFh6oDOD1FxYArlzcbQykvKdqwXMturi6CLcDCI8sJzaF*TWHdpkjhueqe94vn1uc6IZypNLVDTjPHxsJEZnrwBEPq/wolper.jpg)
SHEHE AMCHARUKIA WOLPER
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Jackline Wolper arudia dini yake
MIEZI michache baada ya kuapa kwamba hatobadilisha tena dini kwa kwani kwa kufanya hivyo, ni sawa na kumchezea Mungu, mwigizaji mwenye nyota kali, Jackline Wolper, ameshindwa kusimamia kiapo hicho na...
9 years ago
Bongo Movies28 Aug
Uchaguzi 2015: Jackline Wolper Atangaza Kujiita ‘Jackline Lowassa’
Mastaa wa Bongo Movies, Jackline Wolper , Aunt Ezekiel na Shamsa Ford ambao wamekuwa wakimuunga mkono mgombea urasi wa UKAWA kupitia tiketi ya CHADEMA, Mh Edward Lowassa siku ya jana kwenye Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Millenium Tower, mbali na kuelezea kumuunga mkono mgombea huyo mastaa kumzawadia keki ya ‘Birthday’ ya kutimiza 62 ya kuzaliwa ya mgombea huyo.
Akiongea kwenye mkutano huo wolper alitangaza kuanzia jana atakuwa akiitwa Jackline...
10 years ago
Bongo Movies06 Dec
SIKU YAKE YA KUZALIWA: Jackline Wolper Awatembea Wazee Wasiojiweza
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Muigizaji Jackline Wolper, akiongozana na baadhi ya waigizaji wenzie wakiwemo Kajala na Nanaiki, Wamewatembelea wazee wasio jiweza na hiki ndicho alicho andika kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM
“Jamani wapenzi wangu flwz wangu wote sku yangu yakuzaliwa ilikua poa saana jmn am happy nimetembelea ktuo hiki cha wazee wasojiweza kinachosimamiwa na masista ...kiukwel namshukuru Mungu kwa moyo waupendo namapenzi kuwaza nakukumbuka kma kuna watu kma hawa ambao pia...
10 years ago
Bongo Movies28 Feb
UBUYU:Baada ya Kupata Pedeshee Mpya, Wolper Kubadili Dini Tena!!
Mrembeo na mwigizaji wa filamu, Jackline Massawe Wolper, kwa mara nyingine ameripotiwa na gazeti moja la udaku kuwa kuangukia kwenye mikono ya pedeshee ambaye ndiye anayempa jeuri ya fedha kwa sasa.
Pedeshee huyo anayedaiwa kumpangishia nyumba ya kisasa mrembo huyo na kumpa jeuri ya kufanya matanuzi hapa mjini, anadaiwa kutaka kumbadili dini staa huyo ili awe muislam kwa mara ya pili.
Licha ya maisha yake kubadilika na kuwa na mkwanja mrefu, Wolper mwenyewe amekuwa akifanya siri juu ya...
11 years ago
Habarileo30 Apr
Vijana watakiwa kubadili tabia
VIJANA wametaka kubadili tabia ili kupunguza kasi ya ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Ukimwi. Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Kupambana na Ukimwi (TACAIDS), Dk Fatma Mrisho alitoa rai hiyo wakati wa uzinduzi wa kituo cha utoaji wa huduma za upimaji wa afya kilichopo Michungwani mkoani Tanga.
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Tamasha Mbeya kubadili tabia za vijana bila shuruti
SHIRIKA la Evangelical Mission SOS International kutoka Sweden kwa kushirikiana na Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Mkoa wa Mbeya (CPCT), wameamua kubadilisha tabia za vijana bila shuruti. Katika kubadilisha tabisa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdMWEYgrZd-rSKrXYfBg49oiEbwWV6*hQJsFlyR9l4fQJxf6TWI*Sh0Of9Vb689vwA-JfgCcOt5k-mB*Gq9X91Ak/jack.jpg?width=650)
WOLPER ANAONGOZA KWA KUBADILI NAMBA ZA SIMU!