Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEHE AMCHARUKIA WOLPER

Stori:Gladness Mallya TABIA ya staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper kubadilibadili dini mara kwa mara imeonekana kuwakera watu mbalimbali akiwemo Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum ambaye amemcharukia vikali. Staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper akipozi. Wolper kiimani ni Mkristo lakini hivi karibuni alibadili na kuwa Muislam kabla ya kurejea tena kwenye imani yake ya awali ya ukristo. Sababu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo Movies

SHEHE Amcharukia Jackline Wolper. Ni kutokana na tabia yake ya kubadili badili dini.

TABIA ya staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper kubadilibadili dini mara kwa mara imeonekana kuwakera watu mbalimbali akiwemo Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum ambaye amemcharukia vikali.

Wolper kiimani ni Mkristo lakini hivi karibuni alibadili na kuwa Muislam kabla ya kurejea tena kwenye imani yake ya awali ya ukristo.

Sababu ya Wolper kubadili dini ilikuwa ni kufunga ndoa na aliyekuwa mchumba wake Abdallah Mtoro ‘Dalas’, walipoachana akaamua kurudi kwenye...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!

"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini  na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.

Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...

 

11 years ago

GPL

SHEHE AKERWA NA SWAUMU...

stori: Chande Abdallah na eogratius Mongela SHEHE Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum ameonesha kukerwa kwake na mastaa wa Bongo ambao ni Waislam na wanaishi na wenza wao bila ndoa, hasa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum. Akizungumza na mwandishi wetu juzi, Shehe Alhad alisema kwa mujibu wa imani ya Dini ya Kiislam, Muislam hupaswa kufunga mwezi mtukufu kama...

 

11 years ago

Habarileo

Shehe wa Mkoa mahakamani

SHEHE wa Mkoa wa Tabora, Salum Shaban na waumini wengine watano wa dini ya Kiislamu, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka ya kutishia kufanya fujo.

 

10 years ago

GPL

SHEHE AMUONYA WASTARA

Staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma. MWANDISHI WETU KUTOKANA na matukio mabaya yanayomtokea staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, shehe aliyejulikana kwa jina la Shaban Ally wa jijini Dar, ameibuka na kumuonya mwigizaji huyo kwamba kama anataka ‘mabalaa’ yasizidi kumuandama basi arejee kwa Mungu wake kwani anaonekana amemuacha. Shehe huyo alifikia hatua hiyo kutokana na Wastara kuandamwa na ajali za mara kwa...

 

10 years ago

GPL

SHEHE PONDA BALAA!

Stori: Dunstan Shekidele, Morogoro
SHEHE Ponda balaa! hali ni tete kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro ambayo inasikiliza kesi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam, Shehe Ponda Issa Ponda anayekabiliwa na shitaka la kutoa maneno ya uchochezi, Amani lina mtiririko wa habari. Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam, Shehe Ponda Issa Ponda. Juzi, wakati kesi ikiendelea kusikilizwa mahakamani hapo, baadhi ya...

 

10 years ago

GPL

SHEHE AMUONYA SHILOLE

Mayasa Mariwata
Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salim, amemjia juu staa wa sinema na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed a.k.a Shilole au Shishi Baby baada ya kutangaza kuwa anasali swala tano, kauli ambayo inalenga kudhalilisha Uislam kutokana na skendo zake hasa kukaa mtupu, jambo ambalo ni kukiuka maadili ya binti wa Kiislam. Staa wa sinema na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed a.k.a Shilole au Shishi Baby. Hivi...

 

11 years ago

GPL

SHEHE AWAVAA WEMA, DIDA!

Hamida Hassan na Musa Mateja
Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum (pichani kushoto), amewavaa baadhi ya mastaa Waislamu wa Kibongo wenye kaunta zenye pombe majumbani mwao hasa kwa kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani huku akiwataka waondoe mara moja kwani ujana unawasumbua, Ijumaa lina ripoti kamili. Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum WAMO DIDA, WEMA & DIAMOND
Uchunguzi wa gazeti hili...

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya Shehe Ponda yakwama

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro leo imeshindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda. Kesi hiyo haikuanza kusikilizwa, kutokana na jalada halisi kutorejeshwa kwenye mahakama hiyo kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani