SHEHE PONDA BALAA!

Stori: Dunstan Shekidele, Morogoro SHEHE Ponda balaa! hali ni tete kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro ambayo inasikiliza kesi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam, Shehe Ponda Issa Ponda anayekabiliwa na shitaka la kutoa maneno ya uchochezi, Amani lina mtiririko wa habari. Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam, Shehe Ponda Issa Ponda. Juzi, wakati kesi ikiendelea kusikilizwa mahakamani hapo, baadhi ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
SIMU YA KICHINA YAZUA BALAA KESI YA SHEHE PONDA
11 years ago
Habarileo03 Apr
Kesi ya Shehe Ponda yakwama
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro leo imeshindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda. Kesi hiyo haikuanza kusikilizwa, kutokana na jalada halisi kutorejeshwa kwenye mahakama hiyo kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.
9 years ago
Habarileo01 Dec
Shehe Ponda aachiwa huru
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro baada ya kumwona hana hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili. Shehe Ponda alifunguliwa kesi namba 128, Agosti 19, 2013 katika mahakama hiyo baada ya kudaiwa kutenda kosa la kuvunja sheria ya nchi Kifungu Namba 24 cha Kanuni ya Adhabu.
9 years ago
Habarileo18 Nov
Hukumu kesi ya Shehe Ponda leo
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoani hapa leo inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya jinai inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda. Hukumu hiyo iliahirishwa kutolewa Oktoba 19, mwaka huu baada ya Hakimu Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Mary Moyo kushindwa kukamilisha kuiandika kutokana na matatizo ya kiafya yaliyokuwa yakimkabili.
9 years ago
Habarileo19 Nov
Hukumu ya Shehe Ponda yapigwa kalenda tena
HUKUMU ya kesi inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shekhe Ponda Issa Ponda, imeshindwa kutolewa jana kutokana na Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Mary Moyo kuwa mkoani Dodoma kwa shughuli za kikazi.
10 years ago
GPL
SHEHE AMUONYA WASTARA
11 years ago
GPL
SHEHE AKERWA NA SWAUMU...
10 years ago
GPL
SHEHE AMUONYA SHILOLE
11 years ago
GPL
SHEHE AMCHARUKIA WOLPER