SIMU YA KICHINA YAZUA BALAA KESI YA SHEHE PONDA
![](http://api.ning.com:80/files/OSDnqVdqkHvniJdYBX6PlIhtTWhkh7SFO18w1P4BeLgFUEoqExEobK3rXcPEQhoTjB0QDcZMNo1KQORm66IiCkbsMP8uBwAY/ponda.jpg?width=650)
Stori: Haruni Sanchawa na Denis Mtima SIMU ya Kichina imezua balaa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam Jumatano iliyopita wakati wa usikilizwaji wa kesi ya Katibu wa Jumuiya ya Kiislamu, Shehe Ponda Issa Ponda, Ijumaa linakupa habari kamili. Tukio hilo la aina yake lilitokea baada ya simu ya Kichina ya mmoja wa wafuasi wa Shehe Ponda aliyefahamika kwa jina la Shehe Kitula kuita wakati shughuli za kimahakama zilizopokuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p9piKYn1mVIQt2b0o1bDYqDq0AzXg9BoDHbhZ59*G4ewOYi0hLfOl0-F4dHWrusD4gWEeXbgS4OPq0HxsXDTBvIZa6RU2y*J/FRONTAMANI.jpg)
SHEHE PONDA BALAA!
11 years ago
Habarileo03 Apr
Kesi ya Shehe Ponda yakwama
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro leo imeshindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda. Kesi hiyo haikuanza kusikilizwa, kutokana na jalada halisi kutorejeshwa kwenye mahakama hiyo kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.
9 years ago
Habarileo18 Nov
Hukumu kesi ya Shehe Ponda leo
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoani hapa leo inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya jinai inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda. Hukumu hiyo iliahirishwa kutolewa Oktoba 19, mwaka huu baada ya Hakimu Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Mary Moyo kushindwa kukamilisha kuiandika kutokana na matatizo ya kiafya yaliyokuwa yakimkabili.
9 years ago
Habarileo01 Dec
Shehe Ponda aachiwa huru
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro baada ya kumwona hana hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili. Shehe Ponda alifunguliwa kesi namba 128, Agosti 19, 2013 katika mahakama hiyo baada ya kudaiwa kutenda kosa la kuvunja sheria ya nchi Kifungu Namba 24 cha Kanuni ya Adhabu.
9 years ago
Habarileo19 Nov
Hukumu ya Shehe Ponda yapigwa kalenda tena
HUKUMU ya kesi inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shekhe Ponda Issa Ponda, imeshindwa kutolewa jana kutokana na Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Mary Moyo kuwa mkoani Dodoma kwa shughuli za kikazi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5W1fGMD3XQTUpAsup-ugIBV2R6vWoNgpTipGru7JfiSAPytz*g5PJXrA-M2XebI9v*topEX9RlNc-ENJtaVJ3tpUX85wQZLN/mariamenounostwitterwallpaper.jpg?width=650)
UNYAGO WA KICHINA NA WANAWAKE WA KISASA, BALAA TUPU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wElhaJF9fXJwALCWBGZhn2beMGuNjt4pLti2LOTQsWet2N4bbyhWK5bBGrrv3ehweccE0Vdeqrb6wUr8YFyYAdeBwovWXdWJ/FRONTWIKIENDA.gif?width=650)
FUTARI YAZUA BALAA!
9 years ago
Bongo Movies23 Nov
Mimba ya Jokate Yazua Balaa
Kwani kimenuka? Siku chache baada ya kubumburuka kwa habari ya kunasa mimba ikimhusisha ‘mtoto mzuri’ Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ huku mhusika mkuu akitajwa kuwa ni msanii nguli wa Bongo Fleva, Ali Kiba, ishu hiyo imezua balaa kufuatia familia ya mrembo huyo kushtushwa na hali hiyo, Ijumaa Wikienda limenyetishiwa.
TWENDE OYSTERBAY
Mwishoni kwa wiki iliyopita, ‘kijumbe’ wa gazeti hili alitua getini nyumbani kwa akina Jokate, Oysterbay jijini Dar kwa lengo la kutaka kujua nini kinaendelea...
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Simba yazua balaa Mbeya
PRESHA ya mechi ya Ligi Kuu ya Bara kati ya Simba na Mbeya City itakayopigwa leo Uwanja wa Sokoine mjini hapa, imezua balaa kwa wenyeji kiasi cha kutimuana. Kisa ni...