Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yazua balaa Mbeya

PRESHA ya mechi ya Ligi Kuu ya Bara kati ya Simba na Mbeya City itakayopigwa leo Uwanja wa Sokoine mjini hapa, imezua balaa kwa wenyeji kiasi cha kutimuana. Kisa ni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FUTARI YAZUA BALAA!

Dustan Shekidele, Morogoro
LA haula! Mwanamke aliyefahamika kwa jina moja la Asha, mkazi wa Mtaa wa Area Six, Kata ya Kichangani mkoani  hapa ambaye alikuwa kwenye swaumu ya Mfungo wa Ramadhani, amejikuta akilazimika kutengua swaumu na kumpa kichapo mwanaume aliyeiba futari na kiti chake cha plastiki alichokuwa amekalia nje ya nyumba akipika futari hiyo. Akihojiwa baada ya kuminyiwa kichapo. TUKIO KAMILI
Tukio hilo la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maiti ya kichanga yazua balaa

MTAFARUKU mkubwa umetokea msibani katika Mtaa wa Kawajense Madukani, Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi baada ya ndugu wa pande mbili kugombania kuuzika mwili wa kichanga, Junia Bacho mwenye mwaka mmoja...

 

9 years ago

Bongo Movies

Mimba ya Jokate Yazua Balaa

Kwani kimenuka? Siku chache baada ya kubumburuka kwa habari ya kunasa mimba ikimhusisha ‘mtoto mzuri’ Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ huku mhusika mkuu akitajwa kuwa ni msanii nguli wa Bongo Fleva, Ali Kiba, ishu hiyo imezua balaa kufuatia familia ya mrembo huyo kushtushwa na hali hiyo, Ijumaa Wikienda limenyetishiwa.

TWENDE OYSTERBAY
Mwishoni kwa wiki iliyopita, ‘kijumbe’ wa gazeti hili alitua getini nyumbani kwa akina Jokate, Oysterbay jijini Dar kwa lengo la kutaka kujua nini kinaendelea...

 

9 years ago

Mwananchi

Mitambo ya Sh1.2 bilioni yazua balaa

Kikao cha wadau wa barabara mkoani Geita, kimelazimika kusitishwa kwa muda kwa ajili ya kwenda kukagua mitambo ya ujenzi iliyonunuliwa na Halmashauri ya Wilaya ya Geita.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Matibabu ya Kikwete yazua balaa Bungeni

MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, Ally Kessy (CCM), kwa mara nyingine tena, jana alinusurika kichapo kutoka kwa wabunge wa Chama cha Wananchi (CUF), baada ya kuwapasha kwamba wanatibiwa nchini India, kwanini...

 

11 years ago

GPL

SIMU YA KICHINA YAZUA BALAA KESI YA SHEHE PONDA

Stori: Haruni Sanchawa na Denis Mtima
SIMU ya Kichina imezua balaa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam Jumatano iliyopita wakati wa usikilizwaji wa kesi ya Katibu wa Jumuiya ya Kiislamu, Shehe Ponda Issa Ponda, Ijumaa linakupa habari kamili. Tukio hilo la aina yake lilitokea baada ya simu ya Kichina ya mmoja wa wafuasi wa Shehe Ponda aliyefahamika kwa jina la Shehe Kitula kuita wakati shughuli za kimahakama zilizopokuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mvua yazua balaa Buguruni, watu 1,163 hawana mahali pa kuishi

Zaidi ya wakazi 1,163 wa eneo la Buguruni kwa Mnyamani hawana mahali pa kuishi baada ya nyumba zao 517 kukumbwa na mafuriko.

 

10 years ago

Mwananchi

Luku yazua tafrani Mbeya

>Wakazi wa jijini hapa jana walizua tafrani baada ya kufunga ofisi za Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kwa muda wakidai kupewa majibu kuhusu tatizo la upatikanaji wa umeme lililodumu kwa zaidi ya siku tano

 

11 years ago

Mwananchi

Mapato ya Stars yazua mzozo Mbeya

>Mapato ya mechi ya kirafiki baina ya Taifa Stars na Malawi iliyochezwa juzi jijini hapa yamezua mzozo baada ya kuzuka kwa malumbano baina ya Chama cha Soka Mkoa wa Mbeya (Mrefa) waliotaka kupata mgawo, lakini walikataliwa na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ayoub Nyenzi, aliyesimamia mechi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani