Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mapato ya Stars yazua mzozo Mbeya

>Mapato ya mechi ya kirafiki baina ya Taifa Stars na Malawi iliyochezwa juzi jijini hapa yamezua mzozo baada ya kuzuka kwa malumbano baina ya Chama cha Soka Mkoa wa Mbeya (Mrefa) waliotaka kupata mgawo, lakini walikataliwa na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ayoub Nyenzi, aliyesimamia mechi hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Majibu ya mapato ya Tanzanite yazua kizaazaa bungeni

Bunge limeagiza kuwa swali lililoulizwa na Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Kidawa Hamid Saleh kuhusu kiasi cha mapato yaliyotokana na mauzo ya Tanzanite katika kipindi cha mwaka 2011 hadi 2014, lijibiwe tena na Serikali.

 

10 years ago

Mwananchi

Mapato Ligi Daraja la Kwanza yazua utata

Bodi ya Ligi Kuu nchini imeshindwa kutangaza mapato yaliyopatikana kwenye mzunguko wa kwanza wa Ligi Daraja la Kwanza kutokana na baadhi ya vituo kuchelewa kuwasilisha taarifa za mapato.

 

10 years ago

Mwananchi

Luku yazua tafrani Mbeya

>Wakazi wa jijini hapa jana walizua tafrani baada ya kufunga ofisi za Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kwa muda wakidai kupewa majibu kuhusu tatizo la upatikanaji wa umeme lililodumu kwa zaidi ya siku tano

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba yazua balaa Mbeya

PRESHA ya mechi ya Ligi Kuu ya Bara kati ya Simba na Mbeya City itakayopigwa leo Uwanja wa Sokoine mjini hapa, imezua balaa kwa wenyeji kiasi cha kutimuana. Kisa ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Brazil 2014: Posho yazua utata Black Stars

Ghana iko katika hali ngumu ya kujikwamua kiuchumi katika kambi yao nchini Brazil na inatakiwa kumaliza tatizo hilo kabla ya kuivaa Ujerumani katika mchezo wa Kundi G wa Kombe la Dunia mjini Fortaleza Jumamosi.

 

9 years ago

Mwananchi

Magari ya Chadema yazua utata Mbeya, viongozi wahojiwa

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilayani Mbeya kimelalamikia polisi kuwahoji viongozi wake kuhusu vijana waliokuwa wakilinda msafara wa mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa wakiwa kwenye gari.

 

11 years ago

Michuzi

Mkuu wa mkoa wa Mbeya,Mh Abbas Kandoro afungua mashindano ya Airtel Rising Stars Mbeya

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya  Mh. Abbas Kandoro  akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Mbaspo wakati akifungua rasmi mashindano ya Airtel Rising Stars.  Mkuu wa Mkoa wa Mbeya  Mh. Abbas Kandoro  akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Mbozi wakati akifungua rasmi mashindano ya Airtel Rising Stars.  Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro akipiga mpira kuashiria ufunguzi wa mashindano ya Airtel Rising Stars Mbeya 


Kandoro afagilia mashindano ya vijana.
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro amefungua...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ALIAGIZA JIJI LA MBEYA KUKUSANYA MAPATO ZAIDI

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameutaka uongozi wa Jiji la Mbeya uongeze mapato yake ya ndani kwa kuweka mifumo ya kisasa ya ukusanyaji mapato.
Ametoa agizo hilo jana (Jumamosi, Agosti 2, 2014) wakati akizindua stendi ya kisasa ya mabasi katika eneo la Nane Nane nje kidogo ya Jiji la Mbeya.
“Nikuombe Meya Kapunga, wewe na watu wako ongezeni mapato ya ndani ya Jiji la Mbeya. Wekeni mifumo ya kisasa ya makusanyo inayotumia teknolojia ya habari na mawasiliano, acheni kutumia risiti za kuandika wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali za Mitaa zaongeza mapato kupitia mfumo wa ukusanyaji Mapato kwa njia ya Kielektroniki

01

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI Bi. Rebecca Kwandu akifurahia jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo jijini Dar es Salaam wakati akiwaeleza mafanikio ya mfumo wa ukusanyaji mapato kwa njia ya kielektroniki katika mamlaka za Serikali za Mitaa (LGRCIS). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya TEHAMA wa ofisi hiyo Bw. Mtani Yangwe na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.

02

 Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani