WAZIRI MKUU ALIAGIZA JIJI LA MBEYA KUKUSANYA MAPATO ZAIDI
![](http://2.bp.blogspot.com/-n3EJoyGNJxs/U96g-qoXYII/AAAAAAAF8oE/mHKo-_OWzwM/s72-c/Picture+185.jpg)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameutaka uongozi wa Jiji la Mbeya uongeze mapato yake ya ndani kwa kuweka mifumo ya kisasa ya ukusanyaji mapato.
Ametoa agizo hilo jana (Jumamosi, Agosti 2, 2014) wakati akizindua stendi ya kisasa ya mabasi katika eneo la Nane Nane nje kidogo ya Jiji la Mbeya.
“Nikuombe Meya Kapunga, wewe na watu wako ongezeni mapato ya ndani ya Jiji la Mbeya. Wekeni mifumo ya kisasa ya makusanyo inayotumia teknolojia ya habari na mawasiliano, acheni kutumia risiti za kuandika wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo31 Jul
SERIKALI YASAINI MKATABA WA KUKUSANYA ZAIDI YA SH. MILIONI 12 KUPITIA MAPATO YA NDANI
![FE1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/FE1.jpg)
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akisaini Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya Sh. milioni 12,362,969 za mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 hivi karibuni jijini Dar es salaam ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bernard Mchomvu.
![FE2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/FE2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog29 Jul
Serikali yasaini Mkataba wa kukusanya zaidi ya Sh. milioni 12 kupitia mapato ya ndani kwa mwaka 2015/16
Baadhi ya viongozi na watendaji wa Wizara ya Fedha na TRA wakati wa hafla ya kusaini Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO).
Na Eleuteri Mangi- MAELEZO
Serikaki imesainiana Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya Sh. Milioni 12,362,969 za mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini.
Mkataba huo wa makubaliano umesainiwa leo...
9 years ago
MichuziJIJI LA MBEYA LAJIPANGA KUKUSANYA KODI KATIKA MRADI WA SOKO JIPYA LA MWANJELWA
Na EmanuelMadafa, MbeyaHALMASHAURI ya Jiji la Mbeya, imesema imejipanga vyema katika kuhakikisha mradi mkubwa wa soko jipya la mwanjelwa unasimamiwa kikamilifu kwa kufuata taratibu za serikali sanjali na mikataba iliyoingia na benki ya CRDB kwa kipindi cha miaka 15.
Mradi huo wa soko la kimataifa la Mwanjelwa lililopo jijini Mbeya ujenzi wake imefikia asilimia 99 hivyo upo katika hatua za mwisho za kukamilika kwake.
Akizungumza ofisini...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-trxPV7yToyk/XnsGEQAAyPI/AAAAAAALk_A/CNJcKN367KgnJn14sfLoQBC1pvMZzUZfACLcBGAsYHQ/s72-c/7a57dca7-c661-4d35-878c-b02b35a5961c.jpg)
DC KATAMBI ALIAGIZA JIJI LA DODOMA KUMALIZA CHANGAMOTO YA TAKATAKA NDANI YA SAA 72
Charles James, Globu ya Jamii
KATIKA kuepukana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo ugonjwa wa Kipindupindu, Jiji la Dodoma limeagizwa kuchukua hatua za haraka kwa kumaliza changamoto ya uchafu ambayo imekua ikilalamikiwa na wananchi wake.
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe Patrobas Katambi leo wakati alipofanya ziara ya kukagua usafi wa mazingira katika mitaa na masoko mbalimbali ya jiji hilo.
Katika ziara yake hiyo, DC Katambi amebaini uwepo wa takataka nyingi kwenye mitaa...
9 years ago
MichuziWANANCHI, WAFANYA BIASHARA, WANASIASA, NA WANAFUNZU WA JIJI LA MBEYA WATIMIZA WAJIBU WA KUFANYA USAFI KATIKA MAENEO MBALIMBALI YA JIJI LA MBEYA.
10 years ago
Habarileo21 Oct
Airtel Money yaisaidia Tanesco kukusanya mapato
WATEJA wa Airtel nchini wameendelea kufurahia na kufaidika na ofa kabambe ya hadi asilimia 4 ya nyongeza za tokeni za umeme bure pindi wanaponunua Luku kupitia huduma ya Airtel Money.
9 years ago
Habarileo07 Jan
Waziri Mkuu aagiza kasi ukusanyaji mapato
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza halmashauri za wilaya, manispaa na majiji nchini, kuongeza kasi katika ukusanyaji wa mapato ya ndani, hatua itakayosaidia kuboresha huduma za afya na kuharakisha shughuli mbalimbali za maendeleo.
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/90isWmmoBF0/default.jpg)
5 years ago
MichuziRC TABORA AAGIZA UFUNGAJI WA MFUMO WA KUKUSANYA MAPATO KATIKA MAENEO YA UTOAJI HUDUMA ZA AFYA
NA TIGANYA VINCENT
MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora kuhakikisha wanafunga Mfumo wa ukusanyaji wa mapato kwa katika maeneo yote yanayosuka na utoaji wa huduma za afya ili kuongeza kiwango cha ukusanyaji mapato.
Ukusanyaji wa mapato kwa njia za stakabadhi zilizo katika vitabu zimesababisha baadhi ya mapato kupotea na mengine kuishia mifukoni mwa watumishi wasio waaminifu.
Mwanri ametoa kauli hiyo jan20a wakati wa ukaguzi wa...