Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC KATAMBI ALIAGIZA JIJI LA DODOMA KUMALIZA CHANGAMOTO YA TAKATAKA NDANI YA SAA 72


Charles James, Globu ya Jamii

KATIKA kuepukana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo ugonjwa wa Kipindupindu, Jiji la Dodoma limeagizwa kuchukua hatua za haraka kwa kumaliza changamoto ya uchafu ambayo imekua ikilalamikiwa na wananchi wake.

Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe Patrobas Katambi leo wakati alipofanya ziara ya kukagua usafi wa mazingira katika mitaa na masoko mbalimbali ya jiji hilo.

Katika ziara yake hiyo, DC Katambi amebaini uwepo wa takataka nyingi kwenye mitaa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ALIAGIZA JIJI LA MBEYA KUKUSANYA MAPATO ZAIDI

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameutaka uongozi wa Jiji la Mbeya uongeze mapato yake ya ndani kwa kuweka mifumo ya kisasa ya ukusanyaji mapato.
Ametoa agizo hilo jana (Jumamosi, Agosti 2, 2014) wakati akizindua stendi ya kisasa ya mabasi katika eneo la Nane Nane nje kidogo ya Jiji la Mbeya.
“Nikuombe Meya Kapunga, wewe na watu wako ongezeni mapato ya ndani ya Jiji la Mbeya. Wekeni mifumo ya kisasa ya makusanyo inayotumia teknolojia ya habari na mawasiliano, acheni kutumia risiti za kuandika wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Takataka zawawatisha wakazi Dodoma

NA PENDO MANGALA, DODOMA

WAKAZI wa maeneo ya Chang’ombe na Kizota katika Manispaa ya Dodoma, wapo hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na kuzagaa kwa takataka karibu na maeneo wanayoishi.
MTANZANIA imebaini kuwapo kwa takataka hizo katika maeneo hayo ambazo zimesababisha mazingira hayo kuwa katika hatari ya kuambukiza magonjwa na kuwa tishio kwa wakazi wanaoendesha shughuli zao katika eneo hilo.
Mmoja wa wakazi wa Chang’ombe ambaye hakutaka kutajwa jina lake, alisema taka hizo...

 

5 years ago

Michuzi

DC KATAMBI, BODI YA MAZIWA WAGAWA MAZIWA KWA WATU WENYE UHITAJI JIJINI DODOMA

Charles James, Michuzi TV

WATANZANIA wametakiwa kujiwekea Utamaduni wa kunywa maziwa kwa wingi na siyo kusubiri mpaka waandikiwe na Daktari kwani unywaji wa maziwa hujenga afya.

Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi leo wakati wa ziara yake ya kugawa maziwa kwa watu wenye mahitaji kwa kushirikiana na Bodi ya Maziwa ambapo wamegawa maziwa Lita 1650 yenye thamani ya Sh Milioni Nane.

DC Katambi amesema Ofisi yake itaendelea kuhamasisha unywaji wa maziwa pamoja na kutoa...

 

10 years ago

Michuzi

JIJI LA ARUSHA LAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA UGONJWA WA U.T.I

 

 Na Woinde Shizza wa Libeneke la kaskazini blog.
Jiji la Arusha bado linakabiliwa na changamoto ua ugonjwa ambao unaambukizwa kwa njia ya mkojo(U.T.I) ambao unakuwa siku hadi siku ambapo takwimu za mwaka 2014 zinaonyesha kuwa takribani wagonjwa 32085 walikutwa na ugonjwa huo hali ambayo inakwamisha jitihada za kujiletea maendeleo kutokana na ugonjwa huo.
Ambapo alisema kuwa hadi hivi sasa hawajagundua tatizo na chanzo halisi cha ugonjwa huo ambao unakuwa kwa kasi sana katika jiji hili la...

 

10 years ago

Michuzi

MNARA WA SAA KATIKATI YA JIJI LA DAR

 Huu ni moja kati ya Minara ya awali kabisa hapa jijini Dar es salaam.Mwenye kujua zaidi juu ya hisroria ya mnara huu atumwagie vitu hapa.

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA DODOMA WASAMBAZA UPENDO WA KUTOSHA NDANI YA TAMASHA LA FIESTA MKOANI DODOMA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akitumbuiza jukwaani pamoja na mcheza shoo wake mbele ya mashabiki wa tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika ndani ya uwanja wa Jamhuri,mkoani Dodoma usiku wa kumkia leo.
Pichani ni kulia ni Msanii wa bongofleva AbdulKiba akiimba sambamba na kaka yake Alli Kiba ambaye amekuwa akifanya vyema katika anga ya muziki wa kizazi kipya kupitia nyimbo zake mbili alizoziachai hivi karibuni,ikiwemo MwanaDaisalama na Kimasomaso,Mkali mwingine wa muziki wa...

 

10 years ago

Habarileo

Changamoto za wakaguzi wa ndani zatajwa

BAADHI ya Wakaguzi wa Ndani wa Hesabu za Serikali wamekuwa wakishindwa kufanya kazi zao kwenye utaratibu mzuri kutokana na wengi wao kutokuwa na ujuzi wa taratibu hizo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani