JIJI LA ARUSHA LAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA UGONJWA WA U.T.I
Na Woinde Shizza wa Libeneke la kaskazini blog.
Jiji la Arusha bado linakabiliwa na changamoto ua ugonjwa ambao unaambukizwa kwa njia ya mkojo(U.T.I) ambao unakuwa siku hadi siku ambapo takwimu za mwaka 2014 zinaonyesha kuwa takribani wagonjwa 32085 walikutwa na ugonjwa huo hali ambayo inakwamisha jitihada za kujiletea maendeleo kutokana na ugonjwa huo.
Ambapo alisema kuwa hadi hivi sasa hawajagundua tatizo na chanzo halisi cha ugonjwa huo ambao unakuwa kwa kasi sana katika jiji hili la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi11 Dec
5 years ago
Michuzi
DC KATAMBI ALIAGIZA JIJI LA DODOMA KUMALIZA CHANGAMOTO YA TAKATAKA NDANI YA SAA 72
Charles James, Globu ya Jamii
KATIKA kuepukana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo ugonjwa wa Kipindupindu, Jiji la Dodoma limeagizwa kuchukua hatua za haraka kwa kumaliza changamoto ya uchafu ambayo imekua ikilalamikiwa na wananchi wake.
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe Patrobas Katambi leo wakati alipofanya ziara ya kukagua usafi wa mazingira katika mitaa na masoko mbalimbali ya jiji hilo.
Katika ziara yake hiyo, DC Katambi amebaini uwepo wa takataka nyingi kwenye mitaa...
11 years ago
Habarileo02 Sep
Kashfa yanyemelea Jiji la Arusha
KASHFA ya matumizi mabaya ya madaraka, inainyemelea Halmashauri ya Jiji la Arusha, baada ya kuibuka madai ya kutumika kwa nyaraka za kughushi, kuipa zabuni kampuni iliyokosa sifa ya uwakala wa ukusanyaji ushuru wa maegesho ya magari.
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Safisha jiji yawakera madiwani Arusha
BAADHI ya madiwani wa Jiji la Arusha, wameeleza kukerwa na zoezi la safisha safisha jiji hilo zilivyoendeshwa kwa misingi ya kukiuka haki za binadamu. Madiwani hao wametaka zoezi hilo lifanyike...
11 years ago
Habarileo23 Oct
Jiji la Arusha laongezewa kata sita
MSTAHIKI Meya wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Gaudence Lyimo amesema kuwa jiji hilo sasa litakuwa na kata 25.
10 years ago
Michuzi
LOWASSA ALITIKISA JIJI LA ARUSHA LEO


11 years ago
Mwananchi30 Oct
Wasaa wa mazingira unufaishe jiji la Arusha
11 years ago
Habarileo05 Jul
Fedha zakwamisha miradi Jiji la Arusha
HALMASHAURI ya Jiji la Arusha, inakabiliwa na changamoto kubwa ya ufinyu wa fedha za kukamilisha miradi mbalimbali ya barabara kwa wakati na hivyo kusababisha mtandao wa mawasiliano kuwa mgumu.