Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fedha zakwamisha miradi Jiji la Arusha

HALMASHAURI ya Jiji la Arusha, inakabiliwa na changamoto kubwa ya ufinyu wa fedha za kukamilisha miradi mbalimbali ya barabara kwa wakati na hivyo kusababisha mtandao wa mawasiliano kuwa mgumu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MEYA MSTAAFU WA JIJI LA ARUSHA AMSHUKURU RAIS KWA KUTOA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO

Woinde Shizza, Michuzi Tv ARUSHA MEYA Mstaafu wa Halmashauri ya jiji la Arusha Kalist Lazaro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli kwa kutoa fedha za miradi ya maendeleo kwa jiji la Arusha katika kipindi cha miaka mitano kuanzia 2015 hadi 2020 licha ya Halmashauri hiyo kuongozwa na upinzani.
Kalist aliyasema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha na kuwataka Wana Arusha kumuunga mkono Rais kwa hatua yake aliyoahidi na kuendelea kuahidi kuwa...

 

5 years ago

Michuzi

MEYA MSTAAFU JIJI LA ARUSHA AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUTOA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO


Woinde Shizza, Michuzi TvA-RUSHA
Meya Mstaafu wa Halmashauri ya jiji la Arusha Kalist Lazaro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli kwa kutoa fedha za miradi ya maendeleo kwa jiji la Arusha katika kipindi cha miaka mitano kuanzia 2015\2020 licha ya Halmashauri hiyo kuongozwa na upinzani.
Kalist aliyasema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha na kuwataka Wana Arusha kumuunga mkono mh.Rais kwa hatua yake aliyoahidi na kuendelea kuahidi kuwa...

 

10 years ago

GPL

MWANAHARAKATI AVAA GUNIA NA KUTINGA OFISI ZA JIJI KUMDAI MKURUGENZI WA JIJI LA MWANZA AMLIPE FEDHA ZAKE

Mwanaharakati John Masweta akiwa kwenye geti kuu la Makao Makuu ya Jiji la Mwanza.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akagua miradi mbalimbali jiji la TOKYO

PG4A6161

 Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya vyakula vya  Kitanzania vilivyosindikwa  kitalaamu, Afisa Mtendaji Mkuu  na mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya  Kampuni ya Sumitomo ya Japan,Bw.Michihiko Kanegae baada ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya New Otani, Tokyo, Machi 16, 2015.  Kampuni hiyo inatarajiwa kuanza ujenzi wa mtambo wa kufua umeme kwa kutumia gesi katika eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam hivi karibuni. Kushoto ni Meneja Mkuu wa Masuala ya Miundombinu ya Umeme wa...

 

5 years ago

Michuzi

TAREHE YA KUTOA FOMU ZA KUWEKEZA KWENYE MIRADI YA JIJI LA DODOMA YAWEKWA HADHARANI

Charles James, Michuzi TVMIRADI minne mikubwa ya kimkakati jijini Dodoma ya Stendi ya Mabasi, Soko kubwa la kisasa, Stendi ya Malori na eneo la mapumziko la Chinangali inatarajia kukamilika kabla ya April 26 mwaka huu.
Wananchi mbalimbali wametakiwa kujitokeza kuchukua fomu za kuomba kuwekeza kwenye maeneo hayo kuanzia April 7 mwaka huu katika Ofisi za zamani za iliyokua mamlaka ya ustawishaji wa Dodoma (CDA).
akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma, Mkurugenzi wa Jiji hilo, Godwin...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fedha za miradi zarejeshwa Hazina

JUMLA ya sh 188,405,740,589 sawa na asilimia 55 ya fedha zilizotolewa na Serikali Kuu kwa shughuli za miradi mbalimbali ya maendeleo katika kipindi cha mwaka 2011 na 2012 zimerudishwa Hazina...

 

10 years ago

Habarileo

Upungufu wa fedha wakwamisha miradi ya maendele

UPUNGUFU mkubwa wa fedha uliopo katika Halmashauri ya wilaya ya Kilwa mkoani Lindi umesababisha baadhi ya miradi kutokamilika.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

CCM yalalamikia ucheleweshaji wa fedha za miradi


NA THEODOS MGOMBA, KONDOA
SERIKALI imeshauriwa kutoa fedha kwa wakati kwenda katika halmashauri baada ya bajeti yake kumalizika.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alisema hayo juzi alipokuwa akizungumza na wakazi wa kijiji cha Gwandi kilichoko wilayani Chemba mkoani Dodoma.
Kinana alisema kumekuwepo na ucheleweshaji wa miradi mbalimbali ya serikali kutokana na fedha kutofika kwa wakati katika halmashauri nyingi.
Alisema hali hiyo imekuwa ikirudisha nyuma kasi ya maendeleo katika maeneo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani