Fedha za miradi zarejeshwa Hazina
JUMLA ya sh 188,405,740,589 sawa na asilimia 55 ya fedha zilizotolewa na Serikali Kuu kwa shughuli za miradi mbalimbali ya maendeleo katika kipindi cha mwaka 2011 na 2012 zimerudishwa Hazina...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo28 Nov
Hazina haijakauka - Kamishna wa Fedha
WIZARA ya Fedha imekanusha taarifa zilizotolewa katika vyombo vya habari kwamba Hazina imekauka, na kuhadharisha kuwa taarifa hizo ni za upotoshaji. Kamishna wa Bajeti Wizara ya Fedha, John Cheyo amesema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu utaratibu wa bajeti na vipaumbele vinavyopangwa katika kuhudumia wananchi.
9 years ago
Mtanzania28 Nov
Hazina: Fedha za MCC zitapatikana mwakani
ADAM MKWEPU NA JOHANES RESPICHIUS, DAR ES SALAAM
KAMISHNA wa Bajeti wa Wizara ya Fedha, John Cheyo, amesema fedha za msaada za Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) kutoka nchini Marekani zinatarajiwa kupatikana Juni, mwakani.
Kauli hiyo aliitoa mjini hapa jana, alipozungumza na waandishi wa habari ikiwa ni siku moja baada ya baadhi ya magazeti, likiwemo gazeti hili, kuripoti kuhusu barua ya MCC ya Novemba 19, mwaka huu, iliyoandikwa kwenda kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Servacius...
10 years ago
Habarileo03 Mar
Aibana Hazina iipatie NEC fedha za BVR
RAIS Jakaya Kikwete ameagiza Hazina kuhakikisha inaitengea fedha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kazi ya kuandikisha wapiga kura kwa Mfumo wa Teknolojia ya Utambuzi wa Alama za Vidole ‘Biometric Vote Registration’ (BVR) ikamilike kama ilivyopangwa.
10 years ago
Habarileo04 Mar
Kikwete aibana Hazina iipatie NEC fedha za BVR
RAIS Jakaya Kikwete ameagiza Hazina kuhakikisha inaitengea fedha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kazi ya kuandikisha wapiga kura kwa Mfumo wa Teknolojia ya Utambuzi wa Alama za Vidole ‘Biometric Vote Registration’ (BVR) ikamilike kama ilivyopangwa.
11 years ago
Habarileo05 Jul
Fedha zakwamisha miradi Jiji la Arusha
HALMASHAURI ya Jiji la Arusha, inakabiliwa na changamoto kubwa ya ufinyu wa fedha za kukamilisha miradi mbalimbali ya barabara kwa wakati na hivyo kusababisha mtandao wa mawasiliano kuwa mgumu.
10 years ago
Habarileo06 Sep
Upungufu wa fedha wakwamisha miradi ya maendele
UPUNGUFU mkubwa wa fedha uliopo katika Halmashauri ya wilaya ya Kilwa mkoani Lindi umesababisha baadhi ya miradi kutokamilika.
10 years ago
Uhuru Newspaper12 Mar
CCM yalalamikia ucheleweshaji wa fedha za miradi
NA THEODOS MGOMBA, KONDOA
SERIKALI imeshauriwa kutoa fedha kwa wakati kwenda katika halmashauri baada ya bajeti yake kumalizika.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alisema hayo juzi alipokuwa akizungumza na wakazi wa kijiji cha Gwandi kilichoko wilayani Chemba mkoani Dodoma.
Kinana alisema kumekuwepo na ucheleweshaji wa miradi mbalimbali ya serikali kutokana na fedha kutofika kwa wakati katika halmashauri nyingi.
Alisema hali hiyo imekuwa ikirudisha nyuma kasi ya maendeleo katika maeneo...
11 years ago
Habarileo26 Jul
Mbunge wa Busega kukabili wanaopora fedha za miradi
MBUNGE wa jimbo la Busega mkoani Simiyu, Dk Titus Kamani amesema hatavumilia watu wanaokula fedha za miradi ya maendeleo jimboni humo.
10 years ago
Habarileo27 Jun
Fedha za maji zisitumiwe miradi mingine - Mwanri
SERIKALI imeagiza halmashauri nchini kutobadili matumizi ya fedha zilizotengwa kwa ajili ya miradi ya maji bila kupata ruhusa kutoka ngazi husika.