Hazina: Fedha za MCC zitapatikana mwakani
ADAM MKWEPU NA JOHANES RESPICHIUS, DAR ES SALAAM
KAMISHNA wa Bajeti wa Wizara ya Fedha, John Cheyo, amesema fedha za msaada za Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) kutoka nchini Marekani zinatarajiwa kupatikana Juni, mwakani.
Kauli hiyo aliitoa mjini hapa jana, alipozungumza na waandishi wa habari ikiwa ni siku moja baada ya baadhi ya magazeti, likiwemo gazeti hili, kuripoti kuhusu barua ya MCC ya Novemba 19, mwaka huu, iliyoandikwa kwenda kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Servacius...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo28 Nov
Hazina haijakauka - Kamishna wa Fedha
WIZARA ya Fedha imekanusha taarifa zilizotolewa katika vyombo vya habari kwamba Hazina imekauka, na kuhadharisha kuwa taarifa hizo ni za upotoshaji. Kamishna wa Bajeti Wizara ya Fedha, John Cheyo amesema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu utaratibu wa bajeti na vipaumbele vinavyopangwa katika kuhudumia wananchi.
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Fedha za miradi zarejeshwa Hazina
JUMLA ya sh 188,405,740,589 sawa na asilimia 55 ya fedha zilizotolewa na Serikali Kuu kwa shughuli za miradi mbalimbali ya maendeleo katika kipindi cha mwaka 2011 na 2012 zimerudishwa Hazina...
10 years ago
Habarileo03 Mar
Aibana Hazina iipatie NEC fedha za BVR
RAIS Jakaya Kikwete ameagiza Hazina kuhakikisha inaitengea fedha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kazi ya kuandikisha wapiga kura kwa Mfumo wa Teknolojia ya Utambuzi wa Alama za Vidole ‘Biometric Vote Registration’ (BVR) ikamilike kama ilivyopangwa.
10 years ago
Habarileo04 Mar
Kikwete aibana Hazina iipatie NEC fedha za BVR
RAIS Jakaya Kikwete ameagiza Hazina kuhakikisha inaitengea fedha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kazi ya kuandikisha wapiga kura kwa Mfumo wa Teknolojia ya Utambuzi wa Alama za Vidole ‘Biometric Vote Registration’ (BVR) ikamilike kama ilivyopangwa.
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
BREAKING NEWS: Serikali yatoa tamko juu ya mabilioni ya fedha za miradi ya MCC
Kamishna Mkuu wa bajeti kutoka Wizara ya Fedha na Uchumi, Johnny Cheyo (Picha ya Maktaba).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
[DAR ES SALAAM] Kufuatia suala la Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) wa Marekani kuonya juu ya hali ya kisiasa Zanzibar na matukio mengine yanayotokea hapa nchini huku ikielezwa kuwa inaweza kuathiri vigezo vya kuiwezesha Tanzania kupata msaada huo, Mapema leo Serikali ya Tanzania kupitia Wizara yake ya Fedha na Uchumi mbele ya waandishi wa habari, wamewatoa hofu watanzania...
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Wizara ya Fedha yakutana na uongozi wa MCC kujadili utekelezaji awamu ya pili ya mfuko huo nchini Tanzania
Wizara ya Fedha ya kutana na uongozi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) nakujadili jinsi ya kufanikisha awamu ya pili ya mfuko huo nchini Tanzania. Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue naye alikuwepo katika ujumbe huo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akifurahia jambo na Mkuu wa mambo ya uchumi wa Mfuko wa changamoto za milenia. Wakiwa pamoja na Kamishna wa Fedha za Nje Bw. Saidi Ngosha Magonya.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na...
10 years ago
MichuziWAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA SALUM MKUYA AKUTANA NA BI.SAYEH NA VILEVILE AKUTANA NA MCC/CHAMBER OF COMMERCE
10 years ago
VijimamboWizara ya Fedha ya kutana na uongozi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) nakujadili jinsi ya kufanikisha awamu ya pili ya mfuko huo nchini Tanzania.
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Kairuki: Takwimu zitapatikana kwa wakati
NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Angellah Kairuki, amesema kupatikana kwa mfumo thabiti wa usajili wa vizazi, kuitaiwezesha nchi kuwa na takwimu sahihi kwa wakati na kuiwezesha nchi kupanga mipango...