Wizara ya Fedha ya kutana na uongozi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) nakujadili jinsi ya kufanikisha awamu ya pili ya mfuko huo nchini Tanzania.
Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue naye alikuwepo katika ujumbe huo.Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akifurahia jambo na Mkuu wa mambo ya uchumi wa Mfuko wa changamoto za milenia. Wakiwa pamoja na Kamishna wa Fedha za Nje Bw. Saidi Ngosha Magonya.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile akifurahia jambo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue. Wakishuhudiwa na Bw. Abbas Abeid Missana...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Wizara ya Fedha yakutana na uongozi wa MCC kujadili utekelezaji awamu ya pili ya mfuko huo nchini Tanzania
Wizara ya Fedha ya kutana na uongozi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) nakujadili jinsi ya kufanikisha awamu ya pili ya mfuko huo nchini Tanzania. Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue naye alikuwepo katika ujumbe huo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akifurahia jambo na Mkuu wa mambo ya uchumi wa Mfuko wa changamoto za milenia. Wakiwa pamoja na Kamishna wa Fedha za Nje Bw. Saidi Ngosha Magonya.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na...
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Waziri wa Fedha Tanzania na ujumbe wake wakutana na MD wa Afrika Group na uongozi wa mfuko Changamoto za Milenia
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya wa katikati akiandika maelezo na hoja kutoka Mkurugenzi Mtendaji wa kundi la Afrika ( Afrika Group 1 Constituency)Bi.Chileshe Mpundu Kapwepwe(hayupo kwenye picha). kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile na kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya fedha Zanzibar Bw. Khamis Mussa na akifuatiwa na Gavana msaidizi wa Benki kuu ya Tanzania Bi. Natu Mwamba.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum...
10 years ago
VijimamboWaziri wa Fedha na ujumbe wake wakutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Afrika na uongozi wa mfuko Changamoto za Milenia.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-RSXewLRlyUs/VTNqk6Tvu7I/AAAAAAAHR9I/dbGAhIYs4fg/s72-c/unnamed%2B(48).jpg)
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na ujumbe wake akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Afrika, uongozi wa mfuko Changamoto za Milenia.
![](http://1.bp.blogspot.com/-RSXewLRlyUs/VTNqk6Tvu7I/AAAAAAAHR9I/dbGAhIYs4fg/s1600/unnamed%2B(48).jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-EYXICsT0ySQ/XktrML4Q1CI/AAAAAAALd1g/fTqwgoYfwo81bAbUBa3GmuNa_9CGulnvwCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
MKURUGENZI MTENDAJI MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII AANIKA MAFANIKIO YALIYOPATIKANA KWA KAYA MASIKINI ZILIZOFIKIWA NA MFUKO HUO NCHINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-EYXICsT0ySQ/XktrML4Q1CI/AAAAAAALd1g/fTqwgoYfwo81bAbUBa3GmuNa_9CGulnvwCLcBGAsYHQ/s1600/index.jpg)
MKURUGENZI Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Ladislaus Mwamanga amesema kuwa programu ya TASAF imetekelezwa katika awamu tatu na imekuwa ikitekeleza miradi mbalimbali katika ngazi ya jamii kwa lengo la kupunguza umasikini kwa msingi wa kutoa huduma za jamii katika sekta zote.
Utekelezaji huo umekuwa ukizingatia mahitaji halisi au kero za wananchi wenyewe kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Serikali na kwamba awamu ya kwanza ya TASAF...
10 years ago
Dewji Blog13 Apr
Mfuko wa GEPF wafanya mkutano na wadau Arusha wajadili maswala mbalimbali ya mfuko huo
MKUU wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda akiwa anafungua mkutano ulioandaliwa na mfuko wa mafao ya kustaafu wa GEPF kwa wadau wake jijini Arusha uliolenga kujadili maswala mbalimbali ya mfuko wa mafao ya kustaafu (GEPF) sambamba na mabadiliko katika mfuko huo.(Habari Picha na Pamela Mollel wa http://jamiiblog.co.tz/)
Meneja masoko wa mfuko wa GEPF, Aloyce Ntukamazina akizungumza katika mkutano na wadau kutoka sekta mbalimbali uliofanyika jijini Arusha uliolenga kujadili maswala mbalimbali...
11 years ago
MichuziKAMATI YA BUNGE YA UCHUMI, VIWANDA NA BIASHARA YAIWAGIA SIFA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KWA HUDUMA NZURI ZINAZOTOLEWA NA MFUKO HUO
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-neur_SVAT5I/VdMaRqOW-vI/AAAAAAAAX2s/dEa2vCOX2Oc/s72-c/umbrella.jpg)
MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, TPB KWA KUSHIRIKIANA NA PROPERTY INTERNATIONAL LIMITED WAZINDUA MPANGO WA KUWAKOPESHA VIWANJA WANACHAMA WA MFUKO HUO
![](http://4.bp.blogspot.com/-neur_SVAT5I/VdMaRqOW-vI/AAAAAAAAX2s/dEa2vCOX2Oc/s640/umbrella.jpg)
10 years ago
MichuziSIARA LEONE WAZURU NHIF KUJIFUNZA JINSI YA KUNDESHA MFUKO HUO KATIKA NCHI YAO