Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na ujumbe wake akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Afrika, uongozi wa mfuko Changamoto za Milenia.
.jpg)
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na ujumbe wake katika majadiliano na Mkurugenzi Mtendaji wa kundi la Afrika ( Afrikca Group 1 constituency)Bi.Chileshe Mpundu Kapwepwe(hayupo kwenye picha). kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile akifuatiwa na Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango Dr. Philip Mpango.Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya fedha Zanzibar Bw. Khamis Mussa na kufuatiwa na Gavana msaidizi wa Benki kuu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWaziri wa Fedha na ujumbe wake wakutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Afrika na uongozi wa mfuko Changamoto za Milenia.
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Waziri wa Fedha Tanzania na ujumbe wake wakutana na MD wa Afrika Group na uongozi wa mfuko Changamoto za Milenia
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya wa katikati akiandika maelezo na hoja kutoka Mkurugenzi Mtendaji wa kundi la Afrika ( Afrika Group 1 Constituency)Bi.Chileshe Mpundu Kapwepwe(hayupo kwenye picha). kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile na kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya fedha Zanzibar Bw. Khamis Mussa na akifuatiwa na Gavana msaidizi wa Benki kuu ya Tanzania Bi. Natu Mwamba.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum...
10 years ago
MichuziWAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA SALUM MKUYA AKUTANA NA BI.SAYEH NA VILEVILE AKUTANA NA MCC/CHAMBER OF COMMERCE
10 years ago
Michuzi
WAZIRI WA FEDHA SAADA MKUYA SALUM AZINDUA BODI YA PPF NA MAFAO MAPYA YA MFUKO


KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA FEDHA SAADA SALUM MKUYA AKUTANA NA JOLY WA (IMF) NA LAROSE WA (WB)
Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly wa katikati mwenye Tai ya rangi ya chungwa akiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la fedha la Kimataifa na ujumbe kutoka Tanzania( hawapokwenyepicha)mjini Washington DC.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile wakiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la fedha la Kimataifa mjini Washington DC
Waziri wa...
10 years ago
Dewji Blog23 Apr
Waziri wa fedha Saada Salum Mkuya akutana na Joly wa (IMF) pamoja na Larose wa (WB)
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose ofisini kwake mjini Washington DC.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile , Bw. Beda Shallanda Kamishina wa Sera na Bw. Paul...
10 years ago
Dewji Blog26 Aug
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum azindua bodi mpya ya PPF na mafao mapya ya mfuko huo
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya uzinduzi wa Bodi Mpya ya PPF na Mafao Mapya ya Mfuko huo Dar es Salaam jana.
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum, (kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni moja, mwanachama wa mfuko huo, Sara Haule kama malipo ya fao la uzazi katika hafla ya uzinduzi wa bodi hiyo sanjari na uzinduzi wa fao la uzazi.
Waziri Fedha, Saada Mkuya akipeana mkono wa pongezi Mwanachama wa mfuko huo, Caroline Kiswaga, baada ya...
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA FEDHA, SAADA MKUYA SALUM AZINDUA BODI MPYA YA PPF NA MAFAO MAPYA YA MFUKO HUO
10 years ago
Michuzi
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA, MHE. SAADA MKUYA SALUM (MB) ALIYOIWASILISHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
