HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA, MHE. SAADA MKUYA SALUM (MB) ALIYOIWASILISHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya akiwasilisha makadirio ya matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2015/16 Bungeni mjini Dodoma Juni 7,2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA SALUM MKUYA KATIK MKUTANO WA MAJUMUISHO NA IMF, BENKI YA DUNIA WASHINGTON DC MAREKANI
11 years ago
MichuziHOTUBA YA WAZIRI WA FEDH MHESHIMIWA SAADA MKUYA SALUM (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2014/15
10 years ago
MichuziWaziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na ujumbe wake akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Afrika, uongozi wa mfuko Changamoto za Milenia.
10 years ago
Dewji Blog12 Jun
Hotuba ya Bajeti ya Serikali iliyosomwa na Mh. Saada Mkuya Salum bungeni iko hapa
Waziri wa Fedha Mh. Saada M.Salum (MB) akionyesha kwa waandishi wa habari (Hawapo pichani) mkoba wenye hotuba ya bajeti ya Serikali kwa mwaka 2015/16 .
Waziri wa Fedha Mh.Saada S.Mkuya (MB) akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2015/16.
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA – 2015-16 FINAL.doc
11 years ago
MichuziHOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
10 years ago
MichuziWAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA SALUM MKUYA AKUTANA NA BI.SAYEH NA VILEVILE AKUTANA NA MCC/CHAMBER OF COMMERCE
11 years ago
MichuziWaziri wa fedha Mhe.Saada Mkuya Kujibu Hoja za Wabunge jioni ya Leo
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA FEDHA SAADA SALUM MKUYA AKUTANA NA JOLY WA (IMF) NA LAROSE WA (WB)
Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly wa katikati mwenye Tai ya rangi ya chungwa akiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la fedha la Kimataifa na ujumbe kutoka Tanzania( hawapokwenyepicha)mjini Washington DC.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile wakiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la fedha la Kimataifa mjini Washington DC
Waziri wa...
10 years ago
Dewji Blog23 Apr
Waziri wa fedha Saada Salum Mkuya akutana na Joly wa (IMF) pamoja na Larose wa (WB)
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose ofisini kwake mjini Washington DC.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile , Bw. Beda Shallanda Kamishina wa Sera na Bw. Paul...