WAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA SALUM MKUYA KATIK MKUTANO WA MAJUMUISHO NA IMF, BENKI YA DUNIA WASHINGTON DC MAREKANI
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile wakiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati yao na maafisa waandamizi wa Shirika la fedha la Kimataifa (IMF) mjini Washington DC. Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akitoa ufafanuzi na majibu kwaswali aliloulizwa na Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly kwenye mkutano wa majumuisho kati yao na maafisa waandamizi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWaziri wa Fedha Mh.Saada Mkuya Salum ahudhuria Mkutano wa mwaka wa Benki ya maendeleo ya Afrika Rwanda
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA FEDHA SAADA SALUM MKUYA AKUTANA NA JOLY WA (IMF) NA LAROSE WA (WB)
Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly wa katikati mwenye Tai ya rangi ya chungwa akiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la fedha la Kimataifa na ujumbe kutoka Tanzania( hawapokwenyepicha)mjini Washington DC.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile wakiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la fedha la Kimataifa mjini Washington DC
Waziri wa...
10 years ago
Dewji Blog23 Apr
Waziri wa fedha Saada Salum Mkuya akutana na Joly wa (IMF) pamoja na Larose wa (WB)
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose ofisini kwake mjini Washington DC.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile , Bw. Beda Shallanda Kamishina wa Sera na Bw. Paul...
10 years ago
VijimamboMIKUTANO YA WAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA MKUYA NA KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA WASHINGTON, DC
10 years ago
MichuziHOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA, MHE. SAADA MKUYA SALUM (MB) ALIYOIWASILISHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
10 years ago
MichuziWaziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na ujumbe wake akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Afrika, uongozi wa mfuko Changamoto za Milenia.
10 years ago
MichuziWAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA SALUM MKUYA AKUTANA NA BI.SAYEH NA VILEVILE AKUTANA NA MCC/CHAMBER OF COMMERCE
9 years ago
MichuziWAZIRI WA FEDHA SAADA MKUYA SALUM AZINDUA BODI YA PPF NA MAFAO MAPYA YA MFUKO
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
Dewji Blog26 Aug
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum azindua bodi mpya ya PPF na mafao mapya ya mfuko huo
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya uzinduzi wa Bodi Mpya ya PPF na Mafao Mapya ya Mfuko huo Dar es Salaam jana.
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum, (kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni moja, mwanachama wa mfuko huo, Sara Haule kama malipo ya fao la uzazi katika hafla ya uzinduzi wa bodi hiyo sanjari na uzinduzi wa fao la uzazi.
Waziri Fedha, Saada Mkuya akipeana mkono wa pongezi Mwanachama wa mfuko huo, Caroline Kiswaga, baada ya...