Hazina haijakauka - Kamishna wa Fedha
WIZARA ya Fedha imekanusha taarifa zilizotolewa katika vyombo vya habari kwamba Hazina imekauka, na kuhadharisha kuwa taarifa hizo ni za upotoshaji. Kamishna wa Bajeti Wizara ya Fedha, John Cheyo amesema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu utaratibu wa bajeti na vipaumbele vinavyopangwa katika kuhudumia wananchi.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-V2X2xiauStc/XuuGs6cqP5I/AAAAAAALuf8/5Dz8inb1pGwoPB51aYizMm8G2xIyRo2CgCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-01.jpg)
Msajili Wa Hazina Akutana Na Kamishna wa Maadili Kujadili Namna ya Kuimarisha Ushirikiano Baina ya Ofisi Hizo
![](https://1.bp.blogspot.com/-V2X2xiauStc/XuuGs6cqP5I/AAAAAAALuf8/5Dz8inb1pGwoPB51aYizMm8G2xIyRo2CgCLcBGAsYHQ/s640/PIX-01.jpg)
Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akifafanua jambo wakati wa kikao cha pamoja na Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela , kujadili namna bora ya kuimarisha ushirikiano kati ya ofisi hizo. Kikao hicho kilifanyika jana Juni 18, 2020 katika Ofisi za Msajili wa Hazina, Jijini Dar es...
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Fedha za miradi zarejeshwa Hazina
JUMLA ya sh 188,405,740,589 sawa na asilimia 55 ya fedha zilizotolewa na Serikali Kuu kwa shughuli za miradi mbalimbali ya maendeleo katika kipindi cha mwaka 2011 na 2012 zimerudishwa Hazina...
9 years ago
Mtanzania28 Nov
Hazina: Fedha za MCC zitapatikana mwakani
ADAM MKWEPU NA JOHANES RESPICHIUS, DAR ES SALAAM
KAMISHNA wa Bajeti wa Wizara ya Fedha, John Cheyo, amesema fedha za msaada za Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) kutoka nchini Marekani zinatarajiwa kupatikana Juni, mwakani.
Kauli hiyo aliitoa mjini hapa jana, alipozungumza na waandishi wa habari ikiwa ni siku moja baada ya baadhi ya magazeti, likiwemo gazeti hili, kuripoti kuhusu barua ya MCC ya Novemba 19, mwaka huu, iliyoandikwa kwenda kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Servacius...
10 years ago
Habarileo03 Mar
Aibana Hazina iipatie NEC fedha za BVR
RAIS Jakaya Kikwete ameagiza Hazina kuhakikisha inaitengea fedha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kazi ya kuandikisha wapiga kura kwa Mfumo wa Teknolojia ya Utambuzi wa Alama za Vidole ‘Biometric Vote Registration’ (BVR) ikamilike kama ilivyopangwa.
10 years ago
Habarileo04 Mar
Kikwete aibana Hazina iipatie NEC fedha za BVR
RAIS Jakaya Kikwete ameagiza Hazina kuhakikisha inaitengea fedha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kazi ya kuandikisha wapiga kura kwa Mfumo wa Teknolojia ya Utambuzi wa Alama za Vidole ‘Biometric Vote Registration’ (BVR) ikamilike kama ilivyopangwa.
5 years ago
MichuziKamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kufanya mkutano wake wa kisheria mwaka wa fedha 2019/2020 jijini dar
![](https://1.bp.blogspot.com/-Bapb0hcR0Yg/Xnixt20uv8I/AAAAAAALkyY/ghAkPEwG_-8HMXhaqiJjnfV5N_Cj3l84ACLcBGAsYHQ/s1600/PRESS%2BRELEASE%2BMKUTANO%2BWA%2BTUME%2BNAMBA%2B%2B3%2B-%2B2019-20.jpg)
10 years ago
Michuzi11 Apr
Rais ateua Katibu Mtendaji wa Mamlaka ya Rufaa za Zabuni za Umma, Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Biashara ya Fedha Haramu.
5 years ago
MichuziKUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana.
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...