Msajili Wa Hazina Akutana Na Kamishna wa Maadili Kujadili Namna ya Kuimarisha Ushirikiano Baina ya Ofisi Hizo
![](https://1.bp.blogspot.com/-V2X2xiauStc/XuuGs6cqP5I/AAAAAAALuf8/5Dz8inb1pGwoPB51aYizMm8G2xIyRo2CgCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-01.jpg)
Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akifafanua jambo wakati wa kikao cha pamoja na Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela , kujadili namna bora ya kuimarisha ushirikiano kati ya ofisi hizo. Kikao hicho kilifanyika jana Juni 18, 2020 katika Ofisi za Msajili wa Hazina, Jijini Dar es...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi13 Feb
Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wameelezea kufurahishwa na ufanisi wa utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Msajili wa Hazina
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/PIX-1-10.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/PIX-2-8.jpg)
10 years ago
MichuziMAHAKAMA YA TANZANIA YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI (JUDICIAR MEDIA FORUM) KUJADILI JUU YA MISINGI BORA YA UPASHANAJI HABARI KATIKA UTENDAJI BAINA YA TAASISI HIZO MBILI
10 years ago
GPLUN WAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI KUJADILI USHIRIKIANO BAINA YAO
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-HpakBUGIVWo/XoHrR8o86hI/AAAAAAALli0/my3cAnGoFXk0f5f-6NltoP5YrZbwnQQHQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
KAMISHNA CP SABAS AKUTANA NA KIKOSI MAALUM CHA KUIMARISHA ULINZI, USALAMA KATIKA MPAKA WA TANZANIA NA MSUMBIJI
![](https://1.bp.blogspot.com/-HpakBUGIVWo/XoHrR8o86hI/AAAAAAALli0/my3cAnGoFXk0f5f-6NltoP5YrZbwnQQHQCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-tvRPH4TSjfs/XoHrTdNGl7I/AAAAAAALli8/E8TUCymgVIcrs-dIuUfJFf8oqep3lDPYwCLcBGAsYHQ/s640/2.jpg)
11 years ago
Habarileo13 Mar
Msajili Hazina abana mashirika
MASHIRIKA, taasisi na asasi zote za umma, zimeagizwa kuhakikisha zinajisajili na kuingia mikataba ya utendaji na Msajili wa Hazina. Lengo la hatua hiyo ni kupima utendaji wake ili ziweze kuchangia asilimia 10 ya pato lake katika Mfuko wa Hazina.
9 years ago
Habarileo28 Nov
Hazina haijakauka - Kamishna wa Fedha
WIZARA ya Fedha imekanusha taarifa zilizotolewa katika vyombo vya habari kwamba Hazina imekauka, na kuhadharisha kuwa taarifa hizo ni za upotoshaji. Kamishna wa Bajeti Wizara ya Fedha, John Cheyo amesema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu utaratibu wa bajeti na vipaumbele vinavyopangwa katika kuhudumia wananchi.
10 years ago
Dewji Blog11 Dec
Rais Kikwete amteua Lawrence Mafuru kuwa Msajili wa Hazina
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Lawrence Nyasebwa Mafuru (pichani)kuwa Msajili wa Hazina kuanzia tarehe 5 Novemba, 2014.
Taarifa iliyotolewa leo Desemba 11, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa kabla ya uteuzi wake, Bwana Mafuru alikuwa Mkuu wa Idara ya Rasilimali Fedha katika Ofisi ya Rais inayohusika na ufuatiliaji Miradi ya Matokeo Makubwa Sasa (PDB). Aidha Bwana Mafuru pia alikuwa Kaimu Mtendaji...
10 years ago
Vijimambo17 Dec
BAN KI MOON ATAKA USHIRIKIANO ZAIDI BAINA YA UN NA AU
![](http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/wp-content/uploads/2014/05/ban-sg-4.jpg)
Na Mwandishi Maalum, New YorkKatibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon, amesema, ushirikiano kati ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika katika operesheni za ulinzi wa Amani umekuwa wa mafanikio makubwa katika urejeshwaji wa hali ya amani na utulivu katika maeneo yenye migogoro.Hata hivyo amesema pamoja na mafanikio hayo kuna umuhimu wa ushirikiano huo kuboreshwa zaidi na kuwa wenye tija .Alikuwa akizungumza wakati wa majadiliano ya...
9 years ago
Michuzi14 Dec
Wasanii waaswa kuendeleza ushirikiano baina yao na Serikali
![cb3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/cb3.jpg)
![cb2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/cb2.jpg)