Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msajili Hazina abana mashirika

MASHIRIKA, taasisi na asasi zote za umma, zimeagizwa kuhakikisha zinajisajili na kuingia mikataba ya utendaji na Msajili wa Hazina. Lengo la hatua hiyo ni kupima utendaji wake ili ziweze kuchangia asilimia 10 ya pato lake katika Mfuko wa Hazina.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amteua Lawrence Mafuru kuwa Msajili wa Hazina

Mafuru

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Lawrence Nyasebwa Mafuru (pichani)kuwa Msajili wa Hazina kuanzia tarehe 5 Novemba, 2014.

Taarifa iliyotolewa leo Desemba 11, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa kabla ya uteuzi wake, Bwana Mafuru alikuwa Mkuu wa Idara ya Rasilimali Fedha katika Ofisi ya Rais inayohusika na ufuatiliaji Miradi ya Matokeo Makubwa Sasa (PDB).  Aidha Bwana Mafuru pia alikuwa Kaimu Mtendaji...

 

5 years ago

Michuzi

Msajili Wa Hazina Akutana Na Kamishna wa Maadili Kujadili Namna ya Kuimarisha Ushirikiano Baina ya Ofisi Hizo



Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akifafanua jambo wakati wa kikao cha pamoja na Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela , kujadili namna bora ya kuimarisha ushirikiano kati ya ofisi hizo. Kikao hicho kilifanyika jana Juni 18, 2020 katika Ofisi za Msajili wa Hazina, Jijini Dar es...

 

5 years ago

Michuzi

Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wameelezea kufurahishwa na ufanisi wa utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Msajili wa Hazina

Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akiongoza timu yaMenejimenti ya Ofisi ya Msajili wa Hazina kuwapokea Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti katika Ofisi za Msajili wa Hazina, walipotembelea kuona utendaji kazi wa Ofisi hiyo Mirambo jijini Dar es Salaam, leo Februari 13, 2020.Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti walipotembelea kuona utendaji kazi wa...

 

11 years ago

Habarileo

Magufuli abana wenye magari Kigamboni

WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amewataka wamiliki wa magari yanayovushwa na kivuko kati ya Magogoni na Kigamboni jijini Dar es Salaam, kufikiria uwezekano wa kuzunguka upande wa Kongowe hadi Mbagala na kuingia katikati ya Jiji, lengo likiwa kupunguza msongamano.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFAA NA MSAJILI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA.

 Mhe. John Lugalema  Kahyoza akila kiapo mbele ya Rais Jakaya kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufaa mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam, awali mhe. Kahyoza alikuwaMsajili Mahakama Kuu ya Tanzania. Mhe. Katarina Tengia Revocati akila kiapo mbele ya Rais Jakaya kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Msajili Mkuu  wa Mahakama  mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam, awali  Mhe. Katarina alikuwa Msajili wa Mahakama ya rufani.Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya...

 

10 years ago

Vijimambo

"UZIMA ULIAZIMWA TUNZA NI HAZINA"

TIMU YA NesiWangu IKISHIRIKIANA NA AFRICAN AMERICAN HEALTH PROGRAM INAWAKARIBISHA NYOTE KATIKA UCHUNGUZI WA AFYA YA MOYO Tarehe 7/2/2015 Saa 3:00 asubuhi hadi 7:00 mchanaSilver Spring 1 Veterans Place( Civic Center) Parking ni bure katika garage siku ya Jumamosi

 

10 years ago

BBCSwahili

Stakabadhi za Nyamwasa hazina kasoro

Jaji apuuza malalamiko ya mshirika kadhaa ya kujitegemea kuwa Generali Kayumba Nyamwasa anaishi Afrika Kusini kinyume na sheria

 

11 years ago

Mwananchi

Wakongwe tunakufa na hazina kubwa -2

Katika sehemu ya kwanza ya maelezo ya msanii mkongwe Catherine John (Bi Nyakomba) Jumamosi iliyopita alieleza mambo mbalimbali kuhusu maisha yake.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Bidhaa nchini hazina ubora’

Bidhaa nyingi nchini zimeendelea kushindwa kuingia kwenye masoko ya ndani na nje kutokana na changamoto za vifungashio, nembo na alama za mistari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani