Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakongwe tunakufa na hazina kubwa -2

Katika sehemu ya kwanza ya maelezo ya msanii mkongwe Catherine John (Bi Nyakomba) Jumamosi iliyopita alieleza mambo mbalimbali kuhusu maisha yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mabadiliko haya ndani ya sekta ya habari ni hazina kubwa kwa nchi

Pix 1 Habari

Na Mwandishi wetu

Sekta ya Habari ni moja ya sekta za huduma za jamii inayotoa huduma ambayo ni haki ya msingi ya raia kama ilivyotamkwa kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.

Ibara ya 18 (2) ya Katiba inasema kuwa kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wowote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi na pia juu ya masuala muhimu kwa jamii.

Aidha, kutafuta na kupewa  habari kunatambuliwa duniani kote...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Wakongwe mizigo Ashanti’

Kocha wa Ashanti  United, Abdalah Kibadeni ‘King’ amewaangushia jumba bovu wachezaji wake wakongwe kwa kusema matokeo duni ya timu yake yamechangiwa na wao kushindwa kutimiza wajibu wao.

 

10 years ago

Habarileo

Watendaji 'wakongwe' kupanguliwa

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.WATENDAJI wa Halmashauri waliokaa kwenye vituo vya kazi kwa zaidi ya miaka 10 , wataanza kuhamishwa wakati wowote kuanzia sasa kuleta ufanisi katika utendaji na kukomesha kufanya kazi kwa mazoea.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watawa 3 wakongwe wauawa Burundi

Watawa watatu wakongwe wameuawa mjini Bunjumbura katika makazi ya watawa wanawake na mhalifu mwenye tatizo la kiakili.

 

9 years ago

Michuzi

wakongwe wa habari na sheria wanapokutana...

 Wakongwe wa habari na sheria wakijitahidi kuingia mwakani kwa sera za Hapa ni Kazi Tu! jijini Arusha ni Jenerali Ulimwengu na Danford Mpumilwa Wakongwe wa habari na sheria wakijitahidi kuingia mwakani kwa sera za Hapa ni Kazi Tu! jijini Arusha ni Jenerali Ulimwengu na Danford Mpumilwa wakiwa na mwanasheria mkongwe Chief Mirambo

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapenzi wakongwe zaidi duniani waoana

George Kirby 103 na bi harusi, Doreen Luckie, 92 wamekula kiapo cha kuwa muaminifu kwake hadi kifo kitakapo watenganisha!

 

9 years ago

Bongo Movies

Wasanii wa Leo Wanatuogopa Wakongwe – Mau

MSANII wa filamu na vichekesho Maulid Alli ‘Maufundi’ ametoa kali ya mwaka pale aliposema moja ya sababu kubwa ya yeye na wasanii wakongwe kushiriki filamu chache ni uoga wa wasanii walioigia katika tasnia ya filamu sasa na kupata nafasi ya kutengeneza filamu kisha kusambazwa.

“Ni utani kumweka Simba na Swala katika zizi moja eti Simba kashiba, wasanii sisi wa kitambo kile tuna njaa ya kazi tufanye vizuri watazamaji wetu wafurahi na uwezo wa kuigiza upo, hawa wenzetu wana mitaji sasa...

 

10 years ago

Habarileo

Liewing afurahia wakongwe Stand Utd

KOCHA wa Stand United, Patrick Liewig amefurahia kuwepo kwa Masoud Nassoro, Haroun Chanongo na Amri Kiemba kwenye kikosi chake.

 

9 years ago

Bongo Movies

Soko Haliuliwi na Wasanii Wakongwe- Monalisa

YVONNE Cherryl ‘Monalisa’ mwigizaji mkongwe katika tasnia ya filamu Swahilihood amefunguka kwa kusema kuwa si kweli kama soko la filamu linauliwa na wasanii wakongwe au ambao wapo muda mrefu bali kuna changamoto nyingi.

kweli kama wasanii wakongwe kuwepo katika game ndio wanaua soko la filamu, toka nakua nimekuwa nikisikia wasanii kama Angelina Jolie ana filamu bado zinauza, kwangu wagombea wa Urais wana deni la kulipa,”anasema Monalisa.

Monalisa anaenda mbele zaidi kwa kusema kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani