Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN WAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI KUJADILI USHIRIKIANO‏ BAINA YAO‏

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkazi wa WFP nchini Bw.Richard Ragan (katikati) pamoja na Mwakilishi wa mkazi wa shirika la Afya Duniani (WHO) Dk Rufaro Chatora (kulia) kabla ya kuanza kwa mkutano wa kuboresha ushirikiano kati ya Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na wahariri wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

UN wakutana na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari kujadili ushirikiano‏ baina yao

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkazi wa WFP nchini Bw.Richard Ragan (katikati) pamoja na Mwakilishi wa mkazi wa shirika la Afya Duniani (WHO) Dk Rufaro Chatora (kulia) kabla ya kuanza kwa mkutano wa kuboresha ushirikiano kati ya Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini.

Shirika la Umoja wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA TANZANIA YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI (JUDICIAR MEDIA FORUM) KUJADILI JUU YA MISINGI BORA YA UPASHANAJI HABARI KATIKA UTENDAJI BAINA YA TAASISI HIZO MBILI

 Mhe. Jaji Mstaafu Thomas MIHAYO, Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) akitoa neno katika Mkutano Kati ya Mahakama na Vyombo vya Habari, 'Judiciary Media Forum' unaofanyika Leo katika UKUMBI wa mikutano wa Julius Nyerere International Convention Centre. (JNICC). Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (wa kwanza kushoto), Mhe. Jaji Mstaafu, Thomas MIHAYO, Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) wa pili kushoto, Mhe. Shaaban Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (wa ...

 

11 years ago

GPL

TGNP MTANDAO YACHAMBUA BAJETI NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI‏

Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi akiwasilisha mada kwa wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari jana. Mmoja wa wachambuzi wa sera wa TGNP Mtandao, Agnes Lukaya akiwasilisha matokeo ya tafiti mbalimbali za TGNP zilizofanywa kwa jamii. Aliyekuwa Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Usu Mallya (kushoto) akiwasilisha mada yake kwa wahariri wa vyombo vya habari katika mkutano wa TGNP na wahariri hao. Juu ni baadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

NEMC yawapiga msasa wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini

Mkurugenzi wa Habari, Mawasiliano na Uenezi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Dr. Vedast Makota (kulia), akifungua rasmi warsha ya siku mbili ya mafunzo kwa wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini, kuhusu jinsi ya kuandaa habari za Mazingira, akifungua kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Mhandisi Bonaventure Baya, iliyofanyika katika ukumbi wa Kibo Palace Hotel Mjini Morogoro. Aliyekaa kushoto ni Mwenyekiti wa mkutano huo aliyechaguliwa Bw....

 

11 years ago

Dewji Blog

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wakutana na Wahariri wa vyombo vya habari Jijini Dar

01

Afisa  habari wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bestina Magutu( kulia)akiwa tambulisha  Wakurugenzi wa Mamlaka hiyo kwa wahariri wa vyombo vya Habari nchini  katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam.ikiwa ni mahususi kwa wahariri vyombo mbalimbali nchini.

004

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Fadhili Manongi  akifafanua jambo  kwa wahariri wa vyombo vya habari nchini (hawapo pichani) juu ya Kanuni na taratibu za Mamlaka...

 

10 years ago

Michuzi

wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari watembele mamlaka ya bandari dar es salaam

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema maboresho mbalimbali yanayofanyika kwenye Bandari ya Dar es Salaam na kuimarishwa kwa mahusiano na wadau wake vimesaidia kuongeza ufanisi bandarini.  Akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Bw. Awadhi Massawe alisema mahusiano mazuri ya kikazi na wadau pamoja na uboreshaji wa miundombinu na huduma vimechangia kwa kiasi kikubwa kuongeza ufanisi bandarini.  “Wahariri na ...

 

11 years ago

Michuzi

OFAB TANZANIA YATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI

Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti cha Mikocheni (MARI), Dk. Andrew Ngereza akitoa historia fupi ya kituo hicho wakati akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari katika semina ya siku moja iliyoandaliwa na Jukwaa la Bioteknoloji Tanzania (OFAB)Mkurugenzi wa Sayansi Hai wa COSTECH, Dk.Flora Tibazarwa akitoa mada katika semina hiyo. Mtafiti Kiongozi wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, (COSTECH), Dk.Nicholas Nyange (kulia), akielekeza jambo wakati wa semina hiyo.
Mtaalamu wa...

 

11 years ago

Michuzi

TANAPA YAWAKUTANISHA WAHARIRI TOKA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI, JIJINI MWANZA

Moderetor wa kongamano la wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini Ayub Rioba akitoa maelekezo wakati wa kongamano hilo linalofanyika katika hotel ya JB Belmont jijini Mwanza. Meneja mawasiliano wa Shirika la Hifadhi ya Taifa(TANAPA)Paschal Shelutete akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa kongamano la wahariri kutoka vyombo mbalimbali ya habari nchini linalofanyika jijini Mwanza. Kaimu mkurugenzi mkuu waTANAPA ,ambaye pia ni mkurugenzi wa Utalii na Masoko Ibrahim Musa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani