wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari watembele mamlaka ya bandari dar es salaam
![](http://3.bp.blogspot.com/-LK7aKRmdicA/VYKlcVq-pqI/AAAAAAAHg2o/WBpWtmtFQKo/s72-c/unnamed%2B%252833%2529.jpg)
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema maboresho mbalimbali yanayofanyika kwenye Bandari ya Dar es Salaam na kuimarishwa kwa mahusiano na wadau wake vimesaidia kuongeza ufanisi bandarini. Akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Bw. Awadhi Massawe alisema mahusiano mazuri ya kikazi na wadau pamoja na uboreshaji wa miundombinu na huduma vimechangia kwa kiasi kikubwa kuongeza ufanisi bandarini. “Wahariri na ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wakutana na Wahariri wa vyombo vya habari Jijini Dar
Afisa habari wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bestina Magutu( kulia)akiwa tambulisha Wakurugenzi wa Mamlaka hiyo kwa wahariri wa vyombo vya Habari nchini katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam.ikiwa ni mahususi kwa wahariri vyombo mbalimbali nchini.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Fadhili Manongi akifafanua jambo kwa wahariri wa vyombo vya habari nchini (hawapo pichani) juu ya Kanuni na taratibu za Mamlaka...
11 years ago
Dewji Blog08 May
Wahariri wa vyombo vya habari wapewa semina ya kuelimisha utunzaji wa Mazingira Jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Julius Ningu akifungua mkutano na Wahariri wa vyombo vya habari juu ya utunzaji wa Mazingira na kuelekea maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani mapema mwezi wa Sita.
Mwendesha mada wakati wa Mkutano wa Wahariri wa vyombo mbalimbali vya Habari juu ya masuala ya mazingira Bi. Singlunda akitoa maelezo na mwongozo wa mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa.
Mmoja ya Wataalam wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Jo4jM0iZuqM/U2tViJvSMEI/AAAAAAACgeg/fx95lpx899I/s72-c/1.jpg)
WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI WAPEWA SEMINA YA KUELIMISHA UTUNZAJI WA MAZINGIRA MAY 7-2014 JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-Jo4jM0iZuqM/U2tViJvSMEI/AAAAAAACgeg/fx95lpx899I/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/--UDeLTjFcFI/U2tVsWbj2kI/AAAAAAACges/zW0tTrjxP0Y/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Z6hpwsfZtlM/U2tV5JZO44I/AAAAAAACge4/J5dz8xVueYw/s1600/3.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-FH20rqKyv2c/U2tWGVV7-eI/AAAAAAACgfI/0yNhu9Hv114/s1600/4.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-7ai0hxPyc68/VGdG-qChEAI/AAAAAAACTE8/A59l1teotNc/s72-c/001.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAHARIRI VYOMBO VYA HABARI KWA MAZUNGUMZO JIJINI DAR ES SALAAM.
![](http://3.bp.blogspot.com/-7ai0hxPyc68/VGdG-qChEAI/AAAAAAACTE8/A59l1teotNc/s640/001.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-P9tE1BWEJIA/VGdHIYDj-II/AAAAAAACTFE/2_n2Y7k7Il4/s640/002.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-kmXh41GKdyM/VGdHIpEmvKI/AAAAAAACTFI/pb2dQH4Q_Vk/s640/02..jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-bFT_pSYSlLE/VZeeEwNGDsI/AAAAAAAHmwE/BD2R-u5NI8Q/s72-c/unnamed%2B%252822%2529.jpg)
NEMC yawapiga msasa wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini
![](http://2.bp.blogspot.com/-bFT_pSYSlLE/VZeeEwNGDsI/AAAAAAAHmwE/BD2R-u5NI8Q/s640/unnamed%2B%252822%2529.jpg)
10 years ago
Dewji Blog24 Sep
UN wakutana na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari kujadili ushirikiano†baina yao
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkazi wa WFP nchini Bw.Richard Ragan (katikati) pamoja na Mwakilishi wa mkazi wa shirika la Afya Duniani (WHO) Dk Rufaro Chatora (kulia) kabla ya kuanza kwa mkutano wa kuboresha ushirikiano kati ya Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini.
Shirika la Umoja wa...
11 years ago
MichuziOFAB TANZANIA YATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI
11 years ago
MichuziTANAPA YAWAKUTANISHA WAHARIRI TOKA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI, JIJINI MWANZA