KAMISHNA CP SABAS AKUTANA NA KIKOSI MAALUM CHA KUIMARISHA ULINZI, USALAMA KATIKA MPAKA WA TANZANIA NA MSUMBIJI
Mapema leo 30/03/2020 katika Uwanja wa Mazoezi wa Kikosi cha kutuliza Ghasia Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, ameongea na Askari wa Vikosi Maalum kutoka mikoa mbalimbali waliowasili mkoani Mtwara kwaajili ya kuimalisha Ulinzi katika mpaka ya Tanzania na Msumbiji baada ya kutokea machafuko nchini humo. Kamishna wa Opereshni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, akikagua moja ya silaha aina ya Mota ambayo itatumika katika Operesheni ya kuimalisha ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziKAMISHNA CP SABAS AKUTANA NA KIKOSI MAALUM CHA KUPAMBANA NA UHALIFU MKOANI MTWARA KUIMALISHA ULINZI NA USALAMA MPAKA WA TANZANIA NA MSUMBIJI.
Mapema leo 30/03/2020 katika Uwanja wa Mazoezi wa Kikosi cha kutuliza Ghasia Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, ameongea na Askari wa Vikosi Maalum kutoka mikoa mbalimbali waliowasili mkoani Mtwara kwaajili ya kuimalisha Ulinzi katika mpaka ya Tanzania na Msumbiji baada ya kutokea machafuko nchini humo. (PICHA...
5 years ago
MichuziKAMISHNA CP AENDELEA NA UKAGUZI WA MPAKA WA TANZANIA NA MSUMBIJI HASA KATIKA VIPENYO NA NJIA ZISIZO RASMI
5 years ago
MichuziKAMISHNA SABAS AFANYA ZIARA YA KIKAZI MAKAO MAKUU YA KIKOSI CHA MBWA NA FARASI JIJINI DAR ES
5 years ago
CCM BlogKAMANDA CP SABAS AKUTANA NA KOKOSI MAALUM CHA KUPAMBANA NA UHALIFU MTWARA
Kamishna wa Opereshni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, akikagua moja ya silaha aina ya Mota ambayo itatumika katika Operesheni ya kuimalisha ulinzi...
10 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOANI DODOMA KUIMARISHA ULINZI KATIKA KIPINDI CHA MKUTANO MKUU WA CCM
9 years ago
Habarileo15 Dec
Tanzania, China kushirikiana katika ulinzi na usalama
SERIKALI ya Tanzania na China zimesaini Hati ya Makubaliano inayolenga kuimarisha zaidi ushirikiano katika masuala ya ulinzi na usalama wa raia na mali zao baina ya nchi hizo mbili.
9 years ago
StarTV18 Sep
Mgombea CHAUMA aahidi kuimarisha ulinzi na usalama wa raia
Kutokana na kukithiri kwa vitendo vya kikatili yakiwemo mauaji ya alibino,mauaji ya vikongwe, ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia chama cha ukombozi wa umma (CHAUMA) kimesema endapo watanzania watakipatia ridhaa ya kuongozi nchi kitahakikisha kinakomesha vitendo vya kikatili kwa makundi hayo kwa kujenga makambi maalumu ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia wake.
Hayo yamesemwa na mgombea urais kupitia chama hicho Hashim Rungwe akiwa katika mkutano wa kampeni wilayani Nzega Mkoani Tabora...
5 years ago
MichuziMsajili Wa Hazina Akutana Na Kamishna wa Maadili Kujadili Namna ya Kuimarisha Ushirikiano Baina ya Ofisi Hizo
Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akifafanua jambo wakati wa kikao cha pamoja na Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela , kujadili namna bora ya kuimarisha ushirikiano kati ya ofisi hizo. Kikao hicho kilifanyika jana Juni 18, 2020 katika Ofisi za Msajili wa Hazina, Jijini Dar es...