BREAKING NEWS: Serikali yatoa tamko juu ya mabilioni ya fedha za miradi ya MCC
Kamishna Mkuu wa bajeti kutoka Wizara ya Fedha na Uchumi, Johnny Cheyo (Picha ya Maktaba).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
[DAR ES SALAAM] Kufuatia suala la Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) wa Marekani kuonya juu ya hali ya kisiasa Zanzibar na matukio mengine yanayotokea hapa nchini huku ikielezwa kuwa inaweza kuathiri vigezo vya kuiwezesha Tanzania kupata msaada huo, Mapema leo Serikali ya Tanzania kupitia Wizara yake ya Fedha na Uchumi mbele ya waandishi wa habari, wamewatoa hofu watanzania...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV09 Nov
CCM Kilimanjaro yatoa tamko juu ya mwenendo wa uchaguzi
Umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya moshi Mjini, mkoani Kilimanjaro umeiomba serikali kuweka sheria madhubuti zinazolenga kuthibiti wasimamizi wa uchaguzi ambao wanakiuka sheria na kanuni za Tume ya taifa ya uchaguzi NEC kwa kusababisha vurugu katika zoezi la uhesabuji wa kura.
Kauli hiyo inakuja kufuatia kuwepo kwa malalamiko mengi ya wagombea wa kiti cha ubunge na udiwani katika baadhi ya majimbo mkoani humo kulalamikia zoezi la uchaguzi kutokuwa huru na...
10 years ago
GPLWIZARA YATOA TAMKO JUU YA USAMBAZAJI WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/ZpjQeM6Fny0/default.jpg)
10 years ago
Habarileo14 Jul
BREAKING NEWS: Makubaliano juu ya mpango wa nyuklia wa Iran yafikiwa
IRAN na mataifa sita yenye nguvu duniani wamefikia makubaliano muhimu leo mjini Vienna , kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran kuweza kuondolewa vikwazo ilivyoekewa na mataifa ya magharibi Makubaliano hayo yamekuja katika siku ya 18 za mbio katika mazungumzo kati ya Iran na kundi la mataifa matano lijulikanalo kama P5 +1, mataifa matano ambayo ni Marekani , Urussi , China , Uingereza, Ufaransa pamoja na Ujerumani , mjini Vienna.
9 years ago
Michuzi05 Jan
SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU MISAADA ILIYOKATALIWA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya amesema misaada inayotolewa na watu mbalimbali kwa ajili ya kusaidia jamii ni lazima iwe imekidhi viwango vya ubora, hivyo haitakiwi kuangaliwa kwa vigezo vya dini, itikadi wala siasa. Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu huyo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisi kwake baada kituo kimojwapo nchini kukataa misaada iliyotolewa na Mbunge wa Bukoba Mjini...
10 years ago
Michuzi09 Sep
NEWS ALERT: TCD YATOA TAMKO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA UCHAGUZI MKUU WA 2015
5 years ago
Global Publishers21 Feb
Video: Serikali Yatoa Tamko Madereva Kutekwa DRC
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mindi Kasiga akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).
Wanahabari wakifuatilia tamko hilo.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_TXfoBy2qb0/Xlo0JEnGM0I/AAAAAAALgCg/lmZfMMzRNXg5iBYTroZNe2sbG11TKm-TACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Asilimia 95 Misenyi ni Wahamiaji Haramu, Serikali ya Tanzania yatoa tamko
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni ameitaka idara ya uhamiaji na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA),kuongeza nguvu kazi katika Wilaya ya Misenyi baada kugundulika uwepo wa wahamiaji haramu wengi wanaotishia hali ya ulinzi na usalama katika Mkoa wa Kagera unaopakana na nchi za Uganda na Rwanda.
Ameyasema hayo baada ya kusikiliza taarifa ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Misenyi iliyosomwa na Mkuu wa Wilaya hiyo,Kanali Denis Mwila iliyoweka wazi ...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar18 Sep
BREAKING NEWS: Viongozi Wa Juu CCM Waandaa Mchezo Wakutumia Ugaidi Ili Waendelee Kututawala
Assaalmu alaikhum ndugu Watanzania Bara ( Tanganyika), Zanzibar na Viongozi wa UKAWA. Bila yakupoteza muda mwingi naanza kuingia kwenye Mada niliokusudia. Kama tunavojuwa kwamba Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unafaida kubwa ndani yake ikiwa tu Muungano […]
The post BREAKING NEWS: Viongozi Wa Juu CCM Waandaa Mchezo Wakutumia Ugaidi Ili Waendelee Kututawala appeared first on Mzalendo.net.