Asilimia 95 Misenyi ni Wahamiaji Haramu, Serikali ya Tanzania yatoa tamko
![](https://1.bp.blogspot.com/-_TXfoBy2qb0/Xlo0JEnGM0I/AAAAAAALgCg/lmZfMMzRNXg5iBYTroZNe2sbG11TKm-TACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni ameitaka idara ya uhamiaji na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA),kuongeza nguvu kazi katika Wilaya ya Misenyi baada kugundulika uwepo wa wahamiaji haramu wengi wanaotishia hali ya ulinzi na usalama katika Mkoa wa Kagera unaopakana na nchi za Uganda na Rwanda.
Ameyasema hayo baada ya kusikiliza taarifa ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Misenyi iliyosomwa na Mkuu wa Wilaya hiyo,Kanali Denis Mwila iliyoweka wazi ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NoIQpzKYxCo/XlEVhZTT7qI/AAAAAAALe0Y/EBIEdlYA7EQufeEm1BBEfMP3tln1MJgLwCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-2AA-4-1024x682.jpg)
SERIKALI KUDHIBITI WAHAMIAJI HARAMU WANAOTUMIA NJIA ZA TRENI
![](https://1.bp.blogspot.com/-NoIQpzKYxCo/XlEVhZTT7qI/AAAAAAALe0Y/EBIEdlYA7EQufeEm1BBEfMP3tln1MJgLwCLcBGAsYHQ/s640/PIX-2AA-4-1024x682.jpg)
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora,Kamishna Msaidizi Barnabas Mwakalukwa,akitoa taarifa ya hali ya ulinzi na usalama kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni wakati wa kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani hapo leo
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/PIX-3AA-4-1024x682.jpg)
Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Tabora,Kamishna Msaidizi Mwandamizi,Mohamed Jihadi, akitoa taarifa ya idara yake kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni wakati wa kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani...
9 years ago
Michuzi05 Jan
SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU MISAADA ILIYOKATALIWA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya amesema misaada inayotolewa na watu mbalimbali kwa ajili ya kusaidia jamii ni lazima iwe imekidhi viwango vya ubora, hivyo haitakiwi kuangaliwa kwa vigezo vya dini, itikadi wala siasa. Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu huyo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisi kwake baada kituo kimojwapo nchini kukataa misaada iliyotolewa na Mbunge wa Bukoba Mjini...
5 years ago
Global Publishers21 Feb
Video: Serikali Yatoa Tamko Madereva Kutekwa DRC
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mindi Kasiga akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).
Wanahabari wakifuatilia tamko hilo.
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Tanzania: Wahamiaji haramu raia wa Ethiopia warejeshwa kwao, wengine zaidi kurejeshwa
10 years ago
Michuzi08 Aug
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-BiFmwY73h04/VA2Nv2qorFI/AAAAAAAGhvE/n9dyUi7_3ro/s72-c/unnamed%2B(10).jpg)
SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU UENDESHAJI WA WAKALA BINAFSI WA HUDUMAZA AJIRA NCHINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-BiFmwY73h04/VA2Nv2qorFI/AAAAAAAGhvE/n9dyUi7_3ro/s1600/unnamed%2B(10).jpg)
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
BREAKING NEWS: Serikali yatoa tamko juu ya mabilioni ya fedha za miradi ya MCC
Kamishna Mkuu wa bajeti kutoka Wizara ya Fedha na Uchumi, Johnny Cheyo (Picha ya Maktaba).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
[DAR ES SALAAM] Kufuatia suala la Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) wa Marekani kuonya juu ya hali ya kisiasa Zanzibar na matukio mengine yanayotokea hapa nchini huku ikielezwa kuwa inaweza kuathiri vigezo vya kuiwezesha Tanzania kupata msaada huo, Mapema leo Serikali ya Tanzania kupitia Wizara yake ya Fedha na Uchumi mbele ya waandishi wa habari, wamewatoa hofu watanzania...
10 years ago
Michuzi13 Nov
SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU SIKU YA KISUKARI DUNIANI ITAADHIMISHWA KESHO NOVEMBA 14-2014.
SERIKALI imesema gharama za kutibu mgonjwa wa kisukari kwa mwaka hapa nchini ni sh.408,000 na kuwa watu wengi wamekuwa wakiugua ugonjwa huo bila ya wao kujitambua.
Imeelezwa kuwa utafiti uliofanya mwaka 2012 katika wilaya 50 nchini ulionyesha ya kuwa asilimia 9.1 ya watu huugua ugonjwa huo bila wenyewe kujua.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo Naibu Waziri wa Afya Kebwe Stephen wakati akitoa tamko la serikali kuhusu siku ya...
9 years ago
Dewji Blog19 Nov
Suala la hofu ya kiusalama kuelekea mchezo wa El Classico jumamosi hii, Serikali yatoa tamko!
Uwanja unaotarajiwa kuchezwa mchezo huo Jumamosi hii!
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Baada ya hofu kuwapata mashabiki wa soka nchini Hispania kuelekea kwa mchezo wa mahasimu wa jadi Real Madrid na Barcelona, El Classico kuwa wanaweza kushambuliwa na magaidi baada ya wiki iliyopita watu wanaodhaniwa kuwa magaidi kuvamia jiji la Paris wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya Ufaransa na Ujerumani serikali ya Hispania imezungumza juu ya hali hiyo.
Kupitia kwa Katibu Wizara ya Nchi na Usalama,...