Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU UENDESHAJI WA WAKALA BINAFSI WA HUDUMAZA AJIRA NCHINI

Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira Bw Ridhiwan Wema pichani, akiongea na Wanahabari hawapo pichani katika ukumbi wa Habari –Maelezo kuhusiana na Suala la la Wakala wa Huduma za Ajira nchini. Kushoto pichani ni Kamishna wa Kazi Bw.Saul Kinemela na kulia pembeni ni Bw Ally Msaki Mkurugenzi wa Ajira wote kutoka Wizara ya Kazi na Ajira.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yatoa usajili kwa makampuni 51 ya wakala Binafsi wa Huduma za ajira nchini

IMG_6502

Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira, Bw. Ridhiwan Wema akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar.

Frank-Mvungi-Maelezo

Serikali yatoa usajili kwa makampuni 51 ya wakala Binafsi wa Huduma za ajira nchini kati ya 87 yaliyowasilisha maombi yake kwa Kamishna wa kazi.

Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es salaam na Msemaji  wa Wizara ya Kazi na Ajira Bw. Ridhiwan Wema wakati wa mkutano na waansishi wa habari.

Makampuni yaliyosalia 36 hayakupata usajili kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU MISAADA ILIYOKATALIWA

Na Magreth Kinabo –Maelezo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya amesema misaada inayotolewa na watu mbalimbali kwa ajili ya kusaidia jamii ni lazima iwe imekidhi viwango vya ubora, hivyo haitakiwi kuangaliwa kwa vigezo vya dini, itikadi wala siasa.  Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu huyo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisi kwake baada kituo kimojwapo nchini kukataa misaada iliyotolewa na Mbunge wa Bukoba Mjini...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU SIKU YA KISUKARI DUNIANI ITAADHIMISHWA KESHO NOVEMBA 14-2014.

Na Dotto Mwaibale wa Habari za Jamii Blog

SERIKALI imesema gharama za kutibu mgonjwa wa kisukari kwa mwaka hapa nchini ni sh.408,000 na kuwa watu wengi wamekuwa wakiugua ugonjwa huo bila ya wao kujitambua.

Imeelezwa kuwa utafiti uliofanya mwaka 2012 katika wilaya 50 nchini ulionyesha ya kuwa asilimia 9.1 ya watu huugua ugonjwa huo bila wenyewe kujua.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo Naibu Waziri wa Afya Kebwe Stephen wakati akitoa tamko la serikali kuhusu siku ya...

 

10 years ago

Michuzi

WAKALA WA JIOLOJIA TANZANIA YATOA NAFASI 44 ZA AJIRA

Taasisi ya Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) iliyo chini ya Wizara ya Nishati na Madini(MEM) imetoa nafasi arobaini na nne (44) za ajira kwa watanzania kupitia Ofisi ya Rais sekreterieti ya ajira utumishi wa umma.
Kwa mujibu wa Meneja Rasilimali watu na Maendeleo wa GST, Bw.Gabriel Kasase alimjulisha Afisa habari wa GST kuwa ajira hizo 44 zimegawanyika katika kwa kila idara ya taasisi ambazo alizitaja kuwa Idara ya utawala nafasi kumi na sita (16) , Idara ya Jiolojia nafasi kumi na moja(11) ,...

 

9 years ago

Michuzi

Nacte yatoa taratibu za uendeshaji wa mafunzo ya ufundi nchini

Kaimu katibu mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Adolf Rutayuga akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari hawapo (pichani) wakati alipokuwa akiongea nao makao makuu ya ofisi hizo yaliyopo Mikocheni  jijini Dar es Salaam, kuhusiana na  maamuzi mbalimbali yaliyofanywa  na baraza hilo katika kuratibu uendeshaji wa mafunzo ya elimu ya ufundi nchini. Kushoto ni Mkurugenzi wa Ukaguzi na ufuatiliaji wa Ubora wa Mafunzo wa (NACTE) Agnes Ponera na Msaidizi wa Katibu Mtendaji...

 

9 years ago

GPL

NACTE YATOA TARATIBU ZA UENDESHAJI WA MAFUNZO YA UFUNDI NCHINI‏

Kaimu katibu mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Adolf  Rutayuga akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari hawapo (pichani) wakati alipokuwa akiongea nao makao makuu ya ofisi hizo yaliyopo Mikocheni  jijini Dar es Salaam, kuhusiana na  maamuzi mbalimbali yaliyofanywa  na baraza hilo katika kuratibu uendeshaji wa mafunzo ya elimu ya ufundi nchini. Kushoto ni Mkurugenzi wa Ukaguzi na ufuatiliaji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani